Picha: Siku Mashetani Yangu Yakinipanda Nitawambia Kitu-Kitale
Hii ni moja ya picha iliyosabisha mafuriko ya COMMENTS na LIKES mtandaoni. Hawa ni mastaa wa hapa Bongo, Kitale ‘mkudesimba’ na Vj Penny.
Kitale alibandika picha hii kwenye ukurasa wake na kuiandikia “Kuna siku mashetani yng yakinikalia vibaya nitawambia kitu” kisha kum- tag penny na kumalizia naneno haya….UfundiPelekaVeta ….MapenziAuPesa.
Mashbiki wengi walishusha komenti za kumtaka Kitale awambie hicho kitu, huku wengine wasimshauri achukue mrembo penny kwani watatengeneza bonge la...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo502 Oct
Music: Kitale Ft. Mide Zo & Stanbakora – Kitu Kidogo
11 years ago
GPLMASOGANGE: MAKALIO YANGU NDIYO KILA KITU
10 years ago
Bongo Movies31 Jul
Batuli Amshukia Kitale Kwa Kuvujisha Picha Hizi Mtandaoni
Staa wa mrembo wa Bongo Movie, Batuli ameonyesha kuchukizwa kwake kwa kitendo cha staa mwenzake, Kitale kuvujisha picha hizi akiwa faragha na mwigizaji chipukizi, Stanbakora ikiwa ni kati ya moja ya kipande cha kazi yao mpya, kwa madai kuwa anaipa ‘promo’.
Kupitia ukurasa wake mtandao Batuli ameeleza kuwa Kitale alimpa picha hizo Mateja ambaye ndiye aliezisambaza kwenye mtandao wa Instagram.
“Kwanza mniwie radhi Watanzania mnachokiona na kinachoelezewa ni vitu viwili tofauti mwenye akili...
10 years ago
Bongo Movies20 May
Picha za Stan Bakora Akibanjuka Garini Zaleta Balaa, Kitale Aingilia Kati!
Picha za Msanii wa vichekesho anaeibukia, Stan Bakora akiwa anabanjuka na mwanamke ndani ya gari zimesambaa kwa kasi mtandaoni na kupelekea msanii mwenzake, Kitale “Mkude Simba” ambaye ndiye aliemtoa kisanii kuingilia kati na kumshukia Mateja Musa ambaye anadaiwa kuziweka picha hizo mtandaoni.
“@matejamusa wewe ni Ndugu yangu lakini leo umenikosea kwa ulichokiandika kwenye acount yko ya insta kuhusu @stanbakora umenikosea plz! naomba ufute zile picha haraka nakupigia cm yng upokei sio poa...
10 years ago
Vijimambo10 May
10 years ago
Bongo510 Dec
Zari: ‘Mkanda wa ngono kitu gani’ afurahia likizo na wanae (Picha)
10 years ago
Bongo Movies29 May
Picha: TBT Yangu Enzi Zamchipukio Wangu-Wolper
Haya jamani hii ni tbt yangu mwenyewe, nimejiweka mwenyewe, sitak tbt za uwongo za edtng sasa hii ni tbt yangu enzi zamchipukio wangu mwenyewe na unywele wangu nakale kamwili pale kati hips vip jamani Mungu bwana kumbe ukinyimwa tako hips unapewa ukinyiwa hips tako unapewa ukinyimwa guu, rangi yamtume ambayo aina 360 unapewa. haya jacq wolper masawe na hips zake, mdoli wake na visindano vyake pale kati ingawa paka leo vpo vile vile kasoro ubonge tuu. anawambia hellow fansii i love instagram...
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Gaurav Agrawal : 'Jinsi picha yangu ilivyoharibu simu za Android'
10 years ago
GPLBI HARUSI APANDISHA MASHETANI KANISANI!