Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Kitale Ft. Mide Zo & Stanbakora – Kitu Kidogo

Mchekeshaji Kitale ambaye pia ni msanii wa bongo Fleva amechaia wimbo mpya unaitwa “Kitu Kidogo” amewashirikisha Midezo na Stanbakora. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Hii Ndio Show na Kauli ya Mwisho ya Sharo, Sikujua Kwanini Alitaka Tufanye Kazi na Stanbakora-KITALE

Show ya mwisho kufanya na marehemu sharo ilikuwa mwembe yanga show ya DTV nakumbuka ilikuwa inaitwa "NI WAKATI WAKO" baada ya hapo kesho asubuhi tukaenda tanga kushuti movie yetu hii (Safara Hasara) ambayo 20/04/2015 ndio inatoka tukamaliza kushuti salama salimini tukarudi DAR usiku napigiwa simu na marehemu sajuki anataka niende kwenye show yake iringa CHANGIA SAJUKI tarehe 25/11/2012 akabaki kwa sababu alikuwa katoka magomeni kaamia sinza ana siku mbili bado mgeni sinza basi mimi nikafanya...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Kid Ink Feat. Chris Brown, French Montana, & Verse Simmonds – ‘Diamonds & Gold (Remix)’

Kid Ink drops off a remix to his song “Diamonds & Gold” with a star-studded cast of features. Chris Brown and French Montana both lend new verses to the David D.A. Doman-produced track off the deluxe edition of Full Speed. “Baby keep running,” croons Breezy over the bouncy instrumental. “I’ll put you in diamonds and […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Banky W & Chidinma – All I Want Is You

Banky-W-Chidinma-All-I-Want-Is-You-ART2

Wasanii Banky W na Chidinma kutoka Nigeria wameachia wimbo mpya unaitwa “All I Want Is You”, Kazi imetaarishwa na Producer T.K ambae yumo pia kwenye list ya maproducer 10 wakali Nigeria.

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Banky-W-Chidinma-All-I-Want-Is-You.mp3

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: ZaiiD, Songa & P The MC – Mabadiliko

Wimbo mpya wa rapper ZaiiD,Songa na P The MC inaitwa “Mabadiliko” Producer Paul Loops Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Flavour f/ Phyno & M.I – Wiser

Baada ya Flavour kuachia album yake mpya, ‘Thankful’, jana 14 November yenye nyimbo 21, ameachia single mpya iitwayo Wiser aliyowashirikisha Phyno and M.I.

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Nelly Be f/ Cloudy 9, OB, Karimusic & Mkwawa – Thank You

Mtangazaji na Mwandaaji wa vipindi vya burudani wa Radio Nuru Fm Iringa Tanzania, Nelly Calocy Msamila aka Nelly Be amekusanya vijana Cloudy 9, OB, Karimusic & Mkwawa kufanya wimbo ‘Thank You’. Beat imetayarishwa na Duppy wa Uprise Music na sauti na mixing kufanywa na Sampamba Music.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Ibrah & Lonka Ft. Fredwayne – Utanitaka

wimbo mpya kutoka kwa Ibrah na Lonka wakimshirikisha FredWayne wa Makomando wimbo unaitwa “Utanitaka” umetayarishwa katika studio za Bantu Music. ]

 

9 years ago

Bongo5

Music: The Game Ft. Future & Sonyae – Dedicated

The Game teams with Future on his new single “Dedicated,”. Future puts bros before hos on his Auto-Tuned verse. “Only thing that ever mattered to me was my ni**as,” he raps, while singer Sonyae adds her vocals. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani