Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA YANGU YA LEO

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha: TBT Yangu Enzi Zamchipukio Wangu-Wolper

Haya jamani hii ni tbt yangu mwenyewe, nimejiweka mwenyewe, sitak tbt za uwongo za edtng sasa hii ni tbt yangu enzi zamchipukio wangu mwenyewe na unywele wangu nakale kamwili pale kati hips vip jamani Mungu bwana kumbe ukinyimwa tako hips unapewa ukinyiwa hips tako unapewa ukinyimwa guu, rangi yamtume ambayo aina 360 unapewa. haya jacq wolper masawe na hips zake, mdoli wake na visindano vyake pale kati ingawa paka leo vpo vile vile kasoro ubonge tuu. anawambia hellow fansii i love instagram...

 

5 years ago

BBCSwahili

Gaurav Agrawal : 'Jinsi picha yangu ilivyoharibu simu za Android'

Gaurav Agrawal anasema kuwa ilikuwa jioni moja alipoipiga picha mandhari nzuri lakini hakudhamiria kusababisha madhara kwa watumiaji.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Siku Mashetani Yangu Yakinipanda Nitawambia Kitu-Kitale

Hii ni moja ya picha iliyosabisha mafuriko ya COMMENTS na LIKES  mtandaoni. Hawa ni mastaa wa hapa Bongo, Kitale ‘mkudesimba’ na Vj Penny.

Kitale alibandika picha hii kwenye ukurasa wake na kuiandikia “Kuna siku mashetani yng yakinikalia vibaya nitawambia kitu” kisha kum- tag penny na kumalizia naneno haya….UfundiPelekaVeta ….MapenziAuPesa.

Mashbiki wengi walishusha komenti za kumtaka Kitale awambie hicho kitu, huku wengine wasimshauri achukue mrembo penny kwani watatengeneza bonge la...

 

9 years ago

Bongo5

Baby Madaha: Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yangu ya filamu (Picha)

Muimbaji na muigizaji wa filamu, Baby Madaha amesema amewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yake mpya ya filamu. Baby Madaha akiwa katika moja ya maduka ya vifaa vya electronics jijini Dubai, UAE Baby ameiambia Bongo5 leo akiwa Dubai kwaajili ya manunuzi ya vifaa hivyo, kuwa amekuta bei ya vifaa vya uzalishaji wa filamu […]

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA YA LEO

Passengers scramble for tickets at Ubungo Bus Terminal in Dar es Salaam, due to shortage of transport created by an intensified crackdown by police on upcountry buses which featured an inspection of driver’s licences and other documents in a bid to curb road accidents. (Photo by Mohamed Mambo).

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio ya picha kutoka Bungeni leo

PG4A0194

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Februari, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A0221

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.

PG4A0226

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimaa John Kwegyir, kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.

PG4A0231

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wananchi kutoka wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe walitembelea Bunge mjini Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani