Spika Anna Makinda achachamaa
Spika wa Bunge, Anne Makinda amezitaka kamati tatu za Bunge ambazo wenyeviti wake walitakiwa kuwajibika kutokana na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, kufanya uchaguzi wa wenyeviti wengine kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 18 wa Bunge, Januari 27 mwaka huu mjini Dodoma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziSpika wa Bunge la Uholanzi na ujumbe wake wamtembelea Spika Makinda leo
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
Makinda, Anna Abdallah, Ndugai ‘out’
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, Naibu wake, Job Ndugai na mmoja wa wabunge wakongwe hap
Mwandishi Wetu
9 years ago
StarTV14 Nov
Anna Makinda aeleza dhamira ya kutogombea uspika
Spika wa Bunge la Tanzania Anna Makinda ameelezea dhamira yake ya kutogombea kwa mara nyingine nafasi hiyo ya uspika na kusema kipindi cha miaka 40 ndani ya Bunge kimetosha, na sasa atasalia kuwa mshauri kwa spika wa bunge lijalo.
Spika Makinda amehudumu kama spika kwenye bunge hilo kwa kipindi cha miaka mitano, na sasa anaamua kustaafu uongozi ndani ya siasa.
Spika Makinda anaondoka huku akiacha historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa spika wa bunge la Tanzania, ambaye pia anajivunia...
10 years ago
Tanzania Daima10 Nov
Mawaziri wamtosa Spika Makinda
BAADHI ya Mawaziri na Manaibu wao, wamekacha kuhudhuria hafla maalum ya kumpongeza Spika wa Bunge la Muungano, Anne Makinda, ambaye hivi karibuni alichaguliwa kwa kishindo kuwa Rais wa Bunge SADC...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Spika Makinda ulitaka afe nani?
KATIKA Biblia takatifu, kitabu cha Mhubiri 3:1-2 kinasema kila jambo lina majira yake, wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa. Nimelazimika kulijadili andiko...
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Anne Semamba Makinda Spika wa Bunge
11 years ago
Mwananchi17 May
Kambi ya upinzani yamshukia Spika Anne Makinda
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-6xF6gU8ttPk/U_78ggu6oQI/AAAAAAAABko/8frNcpLzS4g/s72-c/MAKINDAANNE.jpg)
Spika Makinda ataka ushirikiano Bunge la EAC
Na Mwandishi Wetu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewataka wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutengeneza utaratibu wa kuongeza uhusiano kati ya bunge hilo na yale ya nchi wanachama.
Akizungumza katika ufunguzi wa bunge hilo, Spika Anne alisema tayari maspika wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubalina kuunda kamati zitakazoshughulikia mambo ya jumuia hizo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-6xF6gU8ttPk/U_78ggu6oQI/AAAAAAAABko/8frNcpLzS4g/s1600/MAKINDAANNE.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10