Mbunge wa Singida Magharibi atangaza kutochukua posho za  vikao vya bunge
Mbunge wa Singida Magharibi kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Elibariki Kingu ametangaza azma yake ya kutochukua posho za vikao vya Bunge kwa muda wa miaka mitano ili fedha hizo zikasaidie wananchi wake.
Uamuzi huo umekuja kwa kile alichodai kuwa, Serikali imekuwa ikitumia fedha nyingi kugharamia mahitaji yasiyo ya lazima ikiwa ni pamoja na posho hizo wakati hayo yote ni sehemu ya majukumu yao.
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu akitoa mchanganuo wa fedha anazolipwa Mbunge mmoja kwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Mbunge mteule wa jimbo la Singida Magharibi aanza kutekeleza kwa vitendo ahadi zake jimboni!
10 years ago
Michuzi16 Oct
Vikao vya Kamati za Bunge Oktoba na Novemba 2014
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Utaifa utawale vikao vya maridhiano Bunge la Katiba
NI takribani miezi minne sasa tangu makundi mbalimbali nchini kuwaomba wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea katika vikao vya Bunge hilo Agosti 5. Katika makundi hayo, wamo...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-SsariXTv0O4/VZbyOBM1yfI/AAAAAAABRHY/9QGQ5M6nF58/s72-c/bungeni%2Bdodoma.jpg)
WABUNGE 5 WAMEPEWA ADHABU YA KUTOKUHUDHURIA VIKAO VYA MKUTANO WA 20 WA BUNGE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-SsariXTv0O4/VZbyOBM1yfI/AAAAAAABRHY/9QGQ5M6nF58/s640/bungeni%2Bdodoma.jpg)
11 years ago
Habarileo27 Feb
Bunge lashutumu vyombo vya habari kuhusu posho
BUNGE Maalumu la Katiba limevigeukia vyombo vya habari na kuvishutumu kwa kulichonganisha na jamii iwaone wajumbe wake wamekuja kutafuta posho. Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu, Pandu Ameir Kificho alisema jamii inachanganywa, kiasi kwamba ionekane suala la kutafuta Katiba ni jambo la mchezo au kama vile wamekuja kutafuta posho.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wQajb8Js9TU/VEMO7YGtFPI/AAAAAAAGrzw/kE-33XOEqHM/s72-c/images.jpg)
Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge kuanza Jijini Dar es Salaam Jumatatu
![](http://3.bp.blogspot.com/-wQajb8Js9TU/VEMO7YGtFPI/AAAAAAAGrzw/kE-33XOEqHM/s1600/images.jpg)
Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.
Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014 zitapokea na kujadili pamoja na mambo mengine Muswada wa Marekebisho ya Sheria...
10 years ago
Dewji Blog19 Oct
Vikao vya kamati za kudumu za Bunge kuanza kesho jijini Dar es Salaam
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba 2014. Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.
Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014...
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-OseliymIZjA/VZ0PX4hkRkI/AAAAAAAAgsw/wJIOwB1LFGM/s640/1.jpg)
RAIS KIKWETE ALIVYOWASILI DODOMA KUONGOZA VIKAO VYA CCM NA KULIHUTUBIA BUNGE