Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge lashutumu vyombo vya habari kuhusu posho

BUNGE Maalumu la Katiba limevigeukia vyombo vya habari na kuvishutumu kwa kulichonganisha na jamii iwaone wajumbe wake wamekuja kutafuta posho. Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu, Pandu Ameir Kificho alisema jamii inachanganywa, kiasi kwamba ionekane suala la kutafuta Katiba ni jambo la mchezo au kama vile wamekuja kutafuta posho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba avitaka Vyombo vya Habari kuandika habari bila kupotosha Umma.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba.Mjumbe wa Kamati Namba Nne ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Christopher Ole Sendeka akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati yake leo 28 Agosti, 2014. Mjumbe wa Kamati Namba Tatu ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Dkt. Francis Michael akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati yake...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUANDIKA HABARI BILA KUPOTOSHA UMMA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba. Mjumbe wa Kamati Namba Nne…

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta avitaka Vyombo vya Habari kuandika habari bila kupotosha Umma

PIX 1

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amevitaka vyombo vya habari nchini kuacha uchochezi na chuki wakati vinapohabarisha umma kuhusiana na mchakato wa Katiba Mpya.

Kauli hiyo nimetolewa leo na Mhe. Sitta wakati alipokutana na baadhi ya waandishi wa habari katika viwanja vya...

 

10 years ago

Michuzi

Wabunge wa Kamati ya Uongozi ya Bunge la Afrika Mashariki watembelea vyombo vya habari vya IPP

 Wabunge wa EALA wakiwasili The Guardian LtdWabunge wa EALA wakipokea maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa EATV na Radio walipotembelea vyombo vya Habari vya IPP jana Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt Margaret Zziwa akizungumza baada ya kupokea maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa EATV na Radio wakati wa Ziara ya wabunge hao IPP Media. Wa nne kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo.Kwa habari zaidi na picha BOFYA HAPA
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UHAMISHO WA BALOZI KALAGHE


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Coat of ArmsSimu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600               
               20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani