Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wa Kamati ya Uongozi ya Bunge la Afrika Mashariki watembelea vyombo vya habari vya IPP

 Wabunge wa EALA wakiwasili The Guardian LtdWabunge wa EALA wakipokea maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa EATV na Radio walipotembelea vyombo vya Habari vya IPP jana Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt Margaret Zziwa akizungumza baada ya kupokea maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa EATV na Radio wakati wa Ziara ya wabunge hao IPP Media. Wa nne kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo.Kwa habari zaidi na picha BOFYA HAPA
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR ES SALAAM KUJADILI CHANGAMOTO ZA NCHI ZAO

 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua kongamano la kujadili mchango wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokarasia na mambo mbalimbali yanayogusa jumuiya hiyo Dar es Salaam leo Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Felix Mosha akizungumza katika kongamano hilo. Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Assa Mwambene akijibu maswali ya wanahabari.

BOFYA HAPA KUONA PICHA...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wabunge wa bunge Jumuiya ya Afrika Mashariki watembelea bandari ya Dar es salaam

DIGITAL CAMERA

Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Dkt. Margaret  Zziwa (wa pili kulia) akipewa maelezo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya TICS Paul Wallace namna kampuni yake inavyofanyakazi ya kupakua na kupakia mizigo katika bandari ya Dar es salaam wakati wa ziara ya Wabunge wa bunge hilo walipotembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jana jijini Dar es salaam.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

02 (2)

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Jumuiya ya Afrika Mashariki iko makini katika kutekeleza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA PSPF WATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu akifafanua jambo kwa Wahariri wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) alipotembelea Makao Makuu ya MCL, Tabata Relini jijini Dar es salaam, kulia ni watendaji wa PSPFMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Bw. Francis Nanai (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, baada ya kikao kazi kati ya Wahariri wa Mwananchi na Watendaji wa PSPF, kushoto ni Bw....

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA MPAKA WA KENYA NA TANZANIA ENEO LA HOROHORO KUONA HATUA ZINAZOCHUKULIWA Inbox x


Mwenyekiti wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Abdulla Makame akizungumza mara baada ya wabunge wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametembelea mpaka wa Kenya na Tanzania eneo la Horohoro –Lungalunga kuangalia umeathirika vipi kutokana na janga la Virusi vya Corona na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kuweza kukabiliana nao huku wakiridhishwa na hatua zinazochukuliwa kulia ni Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga Specioza Owure
...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia wakati akifungua mkutano huo. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaban Lila (kulia) na  Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji mstaafu Thomas Mihayo wakifuatilia mkutano huo. …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani