Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Warioba: Bunge lisitishwe

Jaji Joseph Warioba

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba

WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema ni vyema Bunge Maalumu la Katiba likasitishwa kwani Katiba bora haiwezi kupatikana kwa muda wa wiki mbili.

Kauli hiyo ya Jaji Warioba imekuja siku moja baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kumtaka Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, kulisitisha, huku mwenyewe akisema litaendelea na hadi kufikia Oktoba 4 Katiba inayopendekezwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba ateka Bunge

>Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba jana aliliteka Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, alipowasilisha Rasimu ya Katiba na kushangiliwa katika maeneo mengi nyeti na kupigiwa kelele katika vipengele vichache vya uraia na ardhi.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba kuhutubia Bunge

>Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba leo anakabiliwa na kibarua kigumu pale atakapowasilisha Rasimu ya Katiba mbele ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Nape atofautiana na Jaji Warioba Bunge la Katiba

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema Bunge Maalumu la Katiba, litatekeleza majukumu yake kwa kufuata Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na si mawazo ya mtu yeyote.

 

11 years ago

Mwananchi

TUCTA: Bunge liheshimu Rasimu ya Jaji Warioba

Bunge Maalumu la Katiba, linatarajiwa kuendelea Agosti 5 mwaka huu, baada ya kuahirishwa kwa ajili ya kupisha Bunge la Bajeti.

 

10 years ago

Mwananchi

Hoja za Jaji Warioba mateso Bunge Maalumu

Kero za Muungano na taasisi zake zilizotajwa na mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zimekuwa zikiwatesa wajumbe wa Bunge Maalumu katika mijadala ya rasimu ya Katiba inayoendelea kwenye kamati za chombo hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Bunge la Katiba lisitishwe’

>Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetaka Bunge Maalumu la Katiba kusitishwa mpaka pale maridhiano baina ya wajumbe yatakapopatikana vinginevyo Katiba itakayopatikana itakosa uhalali wa kisheria na kisiasa.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge ataka Bunge lisitishwe

Mbunge wa Kisesa, Luhaga MpinaKUTOKANA na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kuidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 90 za dawa hatua inayozifanya hospitali nyingi nchini kukosa huduma hiyo na kuleta madhara kwa wagonjwa, Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), ameomba Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge ulioanza jana mjini hapa kuahirishwa ili fedha walizopaswa kulipwa wabunge zitumike kununua dawa kuokoa wagonjwa.

 

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani