Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hoja za Jaji Warioba mateso Bunge Maalumu

Kero za Muungano na taasisi zake zilizotajwa na mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zimekuwa zikiwatesa wajumbe wa Bunge Maalumu katika mijadala ya rasimu ya Katiba inayoendelea kwenye kamati za chombo hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Warioba: Kikwete asitumike kuzima hoja

SIKU chache baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amejibu akisema si busara kutumia vibaya jina la Rais Jakaya...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aunguruma Mwanza, ataka majibu ya hoja zake

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema licha ya kushambuliwa kwa mambo ya msingi anayozungumza kuhusu Katiba Mpya hakuna mtu aliyejitokeza kumjibu hoja zake, zaidi kumpiga vita.

 

10 years ago

Mtanzania

Jaji Warioba: Bunge lisitishwe

Jaji Joseph Warioba

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba

WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema ni vyema Bunge Maalumu la Katiba likasitishwa kwani Katiba bora haiwezi kupatikana kwa muda wa wiki mbili.

Kauli hiyo ya Jaji Warioba imekuja siku moja baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kumtaka Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, kulisitisha, huku mwenyewe akisema litaendelea na hadi kufikia Oktoba 4 Katiba inayopendekezwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba ateka Bunge

>Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba jana aliliteka Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, alipowasilisha Rasimu ya Katiba na kushangiliwa katika maeneo mengi nyeti na kupigiwa kelele katika vipengele vichache vya uraia na ardhi.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba kuhutubia Bunge

>Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba leo anakabiliwa na kibarua kigumu pale atakapowasilisha Rasimu ya Katiba mbele ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni za bunge maalumu wakijibu hoja za wabunge leo

 Mjumbe Mhe. Tundu Lissu akitoa ufafanuzi ya moja ya hoja zilizowekwa mezani na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa majadiliano ya rasimu za kanuni  Mjumbe Mhe Evod Mmanda akijibu hoja Mjumbe Mhe. George Simbachawene akitoa ufafanuzi.  Mjumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni  ambaye pia anatoka kundi la walemavu Mhe. Amon Anastaz Mpanju akijibu hoja za wabunge. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii

 

11 years ago

Mwananchi

TUCTA: Bunge liheshimu Rasimu ya Jaji Warioba

Bunge Maalumu la Katiba, linatarajiwa kuendelea Agosti 5 mwaka huu, baada ya kuahirishwa kwa ajili ya kupisha Bunge la Bajeti.

 

11 years ago

Mwananchi

Nape atofautiana na Jaji Warioba Bunge la Katiba

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema Bunge Maalumu la Katiba, litatekeleza majukumu yake kwa kufuata Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na si mawazo ya mtu yeyote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani