Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni za bunge maalumu wakijibu hoja za wabunge leo

 Mjumbe Mhe. Tundu Lissu akitoa ufafanuzi ya moja ya hoja zilizowekwa mezani na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa majadiliano ya rasimu za kanuni  Mjumbe Mhe Evod Mmanda akijibu hoja Mjumbe Mhe. George Simbachawene akitoa ufafanuzi.  Mjumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni  ambaye pia anatoka kundi la walemavu Mhe. Amon Anastaz Mpanju akijibu hoja za wabunge. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

busara, amani na nguzu za hoja zatawala semina ya kujadili rasimu ya kanuni bungeni dodoma leo

 Mjumbe Mhe Betty Machangu akiuliza swali wakati wa mjadala wa rasimu ya kanuni zitazotumika katika Bunge Maalum la katiba leo mjini Dodoma. Hadi sasa busara imetawala katika mjadala ambao umeendelea kwa utulivu  Mjumbe Mhe. Hezekiah Wenje akihoji jambo wakati wa mjadala huo  Mjumbe Mhe Beatrice Shelukindo akichangia mjadala huo  Mjumbe wa Kamati ya kanuni Mhe Tundu Lissu akitoa ufafanuzi na kujibu hoja za wajumbe Mjumbe Mhe. Hamad Rashid akichangia mjadala. Picha na Deusdedit Moshi wa...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: Majina ya wajumbe wa Bunge maalumu la katiba yatangazwa leo

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba   jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jioni hii jijini Dar es salaam. Wanahabari wakimsikiliza  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhe.  Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba  yakitangazwa jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano...

 

11 years ago

Michuzi

pinda akiwa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba mjini dodoma leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Mhe. Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Mhe. Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mhe. Dominick Lyamchay, Mhe. Rashid Mtuta, Mhe. Consitantine Akitanda na  Mhe. Fahmi Dovutwa. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

11 years ago

Habarileo

Kanuni Bunge Maalumu zapita

HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba, limepitisha rasimu ya Kanuni zitakazotumika kuongoza majadiliano, pamoja na vifungu ambavyo havikutaja aina ya upigaji kura kama utakuwa wa wazi au wa siri. Hata hivyo, wakati Bunge likipitisha azimio hilo, baadhi ya wajumbe wamelaani kitendo cha Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu, Pandu Ameir Kificho, kuridhia kupitishwa kwa ‘kanuni nusu’ za Bunge kwa maelezo kuwa jambo hilo halitaleta muafaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani