Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


busara, amani na nguzu za hoja zatawala semina ya kujadili rasimu ya kanuni bungeni dodoma leo

 Mjumbe Mhe Betty Machangu akiuliza swali wakati wa mjadala wa rasimu ya kanuni zitazotumika katika Bunge Maalum la katiba leo mjini Dodoma. Hadi sasa busara imetawala katika mjadala ambao umeendelea kwa utulivu  Mjumbe Mhe. Hezekiah Wenje akihoji jambo wakati wa mjadala huo  Mjumbe Mhe Beatrice Shelukindo akichangia mjadala huo  Mjumbe wa Kamati ya kanuni Mhe Tundu Lissu akitoa ufafanuzi na kujibu hoja za wajumbe Mjumbe Mhe. Hamad Rashid akichangia mjadala. Picha na Deusdedit Moshi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni za bunge maalumu wakijibu hoja za wabunge leo

 Mjumbe Mhe. Tundu Lissu akitoa ufafanuzi ya moja ya hoja zilizowekwa mezani na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa majadiliano ya rasimu za kanuni  Mjumbe Mhe Evod Mmanda akijibu hoja Mjumbe Mhe. George Simbachawene akitoa ufafanuzi.  Mjumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni  ambaye pia anatoka kundi la walemavu Mhe. Amon Anastaz Mpanju akijibu hoja za wabunge. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii

 

11 years ago

Habarileo

Rasimu ya Katiba bungeni leo

TUNAWEZA kusema ni wiki muhimu kwa wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na kutengewa siku tatu za kujadili rasimu ya Katiba itakayowasilishwa leo na Jaji Joseph Warioba. Shughuli za wiki hii, licha ya mjadala huo, pia wajumbe hao watapigwa msasa na wataalamu wa mambo ya Katiba kutoka nje ya nchi kesho, kabla ya bunge hilo kuhutubiwa na Rais Jakaya Kikwete kesho kutwa.

 

11 years ago

Michuzi

semina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania yafanyika leo

Mkurugenzi Msaidi wa Ofis ya Makamu wa Raisi Idara ya Mazingira Bi Magdalena J.Mtenga (wa kwanza kushoto) akifunguwa rasmi Semina ya Rasimu ya kwanza ya Mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa ukuaji wa u chumi na kupunguza Umaskini Tanzania. na kulia ni Alhaji.Selemani Kisimbo ni Kaimu Mkurungezi wa Idara ya Mazingira na wadau wa Taasisi mbalimbali. wadau wa Taasisi mbalimbali wakisikiliza na kutoa maoni ya Rasimu ya kwanza ya mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa...

 

11 years ago

Michuzi

BUNGENI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014. Kutoka kushoto Josephine Chagulla, Esther Midimu, Christowaja Mtinda na Naomi Kaihula. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

MATUKIO BUNGENI LEO DODOMA.

 Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akisindikizwa kutoka ndani ya ukumbi wa Bunge Maalum leo mjini Dodoma na Askari Polisi.  Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (mwenye Kaunda suti ya kijivu) akisindikizwa kutoka nje ya viwanja vya Bunge Maalum la Katiba leo mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani