Mbunge Chadema ataka msaada wa mawaziri
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Simiyu (Chadema) Gimbi Masaba amemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba kuweka mikakati ya kudhibiti migogoro ya wakulima na wafugaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Ataka mawaziri wapewe meno
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Msigwa ataka wabunge, mawaziri wabanwe
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) ameitaka Serikali kupeleka muswada bungeni kwa ajili kutungwa sheria ya kuwabana wabunge na mawaziri ambao hawasomeshi watoto wao wala kutibiwa ndani ya...
10 years ago
Michuzi03 Mar
CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe
![](https://3.bp.blogspot.com/-C0hrD70_tH8/VPROrVS30TI/AAAAAAADQM8/u5GW31g2XY0/s1600/red%2Bbrigade2.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-5MF9SQCARvw/VPROrEsFwPI/AAAAAAADQM4/lo1kQV44FSI/s1600/Lwakatare.jpg)
11 years ago
Mwananchi17 May
Mbunge awabana mawaziri wawili, DC Kiteto
11 years ago
Habarileo29 Mar
Mbunge ataka wasilipwe posho
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ameshauriwa kumuandikia barua Rais Jakaya Kikwete, kuomba kuvunjwa kwa bunge hilo linaloendelea mjini hapa endapo wajumbe wake watashindwa kuanza kujadili rasimu Jumatatu ijayo.
10 years ago
Habarileo05 Nov
Mbunge ataka Bunge lisitishwe
KUTOKANA na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kuidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 90 za dawa hatua inayozifanya hospitali nyingi nchini kukosa huduma hiyo na kuleta madhara kwa wagonjwa, Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), ameomba Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge ulioanza jana mjini hapa kuahirishwa ili fedha walizopaswa kulipwa wabunge zitumike kununua dawa kuokoa wagonjwa.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Mbunge ataka ahadi za JK zifutwe
MBUNGE wa Viti Maalumu Rebeca Mngodo (CHADEMA), ameitaka serikali kuzifuta ahadi zote zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete wakati wa kuomba kura mwaka 2010 kwa madai kuwa hazitekelezeki. Mngodo alitoa kauli...
11 years ago
Mwananchi17 May
Mbunge ataka marekebisho ya sheria sasa
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Mbunge ataka sheria ya majaji itumike
MBUNGE wa Viti Maalumu, Diana Chilolo (CCM), ameihoji serikali kutoanza kutumika sheria ya majaji iliyotungwa na Bunge na kuainisha haki na marupurupu ya majaji. Mbunge huyo mbali na kuhoji suala...