Ataka mawaziri wapewe meno
>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema ipo haja ya kubadili mfumo wa watendaji serikalini ili wanapoboronga nao wajibishwe na mawaziri.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKINANA ATAKA VIJANA WAPEWE FURSA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye uwanja wa Ruangwa Likangara tayari kuhutubia wakazi wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Wananchi wa Ruangwa wakionyesha furaha yao wakati wa kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM kwenye uwanja wa mkutano Ruangwa Likangara. Wananchi wa Ruangwa wakiwa na mabango yaliyobeba ujumbe wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kujenga na kukiimarisha chama,Katibu Mkuu wa CCM...
10 years ago
GPLMKUU WA MKOA MWANZA AWAJIA JUU VIONGOZI WA JIJI, ATAKA MACHINGA WAPEWE MAENEO YA BIASHARA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiongea na Machinga leo jijini Mwanza.…
5 years ago
CCM Blog10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Msigwa ataka wabunge, mawaziri wabanwe
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) ameitaka Serikali kupeleka muswada bungeni kwa ajili kutungwa sheria ya kuwabana wabunge na mawaziri ambao hawasomeshi watoto wao wala kutibiwa ndani ya...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Mbunge Chadema ataka msaada wa mawaziri
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Simiyu (Chadema) Gimbi Masaba amemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba kuweka mikakati ya kudhibiti migogoro ya wakulima na wafugaji.
11 years ago
GPLWATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akikagua gari linalotuhumiwa kutumika.…
11 years ago
MichuziWATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba.
Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Vichokoa meno vizuri ila vyaweza kukuathiri fizi, meno
Matumizi ya vijiti vya kuchokoa meno maarufu kama ‘toothpick’ ni namna nyepesi zaidi ya kuondoa mabaki ya nyama, mboga za majani au matunda yaliyonasa katika meno badala ya kufanya hivyo kwa kidole ama kitu kingine.
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Wabakaji wapewe adhabu kali
Suala la kuwabaka wanafunzi haliko tu Kenya bali pia Tanzania na nchi nyingi za Afrika. Tunayo mifano mingi ya watu wazima wenye uwezo wa kifedha na pia wenye madaraka makubwa ya kiofisi wanaowarubuni wanafunzi kwa kuwapa pesa kidogo au vitu vidogo vidogo ili wafanye nao ngono. Hivi karibuni wanafunzi wa sekondari nchini Siera Leone, nchi iliyokumbwa na ugonjwa wa ebola, walikubwa na dhahama hii wakati wakiwa nyumbani baada ya shule kufungwa kwa kipindi kirefu. Wasichana hawa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania