Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vichokoa meno vizuri ila vyaweza kukuathiri fizi, meno

Matumizi ya vijiti vya kuchokoa meno maarufu kama ‘toothpick’ ni namna nyepesi zaidi ya kuondoa mabaki ya nyama, mboga za majani au matunda yaliyonasa katika meno badala ya kufanya hivyo kwa kidole ama kitu kingine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MARADHI YA FIZI NA MENO-4

Ni wiki nyingine tena mpenzi msomaji wa safu hii tunakuletea sehemu ya mwisho ya mada yetu ambapo leo tunaangalia kipengele hiki muhimu kilichopo hapa chini. JINSI YA KUPIGA MSWAKI
Kwanza kabisa tunashauriwa kupiga mswaki asubuhi na kabla ya kwenda kulala. Ikiwezekana piga mswaki baada ya kula chakula. Kama hauwezi, piga mswaki baada ya kula vyakula vya sukari. Tunapaswa kutumia mswaki laini. Ikiwa unahitaji usaidizi katika...

 

10 years ago

GPL

MARADHI YA FIZI NA MENO-2

Leo nitazungumzia maradhi mbalimbali ya fizi na meno na namna ya kuyazuia. Aina za maradhi ya fizi na dalili zake.Dalili za advanced periodontitis ni kuwa na harufu mbaya ya mdomo ambayo haiishi. Fizi kuvimba, kuwa nyekundu na laini. Dalili nyingine ni fizi kusogea mbali na meno, kuhisi maumivu wakati wa kutafuna na kupoteza hisia katika meno. Sababu za maradhi ya fizi.
Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu awe katika...

 

10 years ago

GPL

MARADHI YA FIZI NA MENO

Leo nitazungumzia maradhi mbalimbali ya fizi na meno na namna ya kuyazuia.
Aina za maradhi ya fizi na dalili zake. Kupiga mswaki na kutunza meno siyo suala gumu na iwapo tutapiga mswaki ipasavyo pamoja na kutumia nyuzi kusafisha katikati ya meno, tunaweza kuzuia maradhi ya fizi na pia meno kuoza.
Maradhi ya fizi husababishwa na utando kwenye meno unaotengenezwa na bakteria, ute na chembechembe nyinginezo zinazoganda kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Mdalasini husaidia kulinda meno, fizi dhidi ya bakteria

Wengi tumekuwa tukitumia mdalasini kama mojawapo ya kiungo kinachosaidia kuweka harufu nzuri kwenye chai na chakula.

 

11 years ago

Michuzi

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba. Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...

 

11 years ago

GPL

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya  vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akikagua gari linalotuhumiwa kutumika.…

 

11 years ago

Michuzi

meno tena!

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiongea kwa uchungu kufuatia kukamatwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.   Mkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande (wapili kulia) akimwonyesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Bunduli iliyokamtwa pamoja na meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaswa na meno ya tembo 53

WATU sita wanaodhaniwa kuwa ni majangili wamekamatwa na meno ya tembo 53 yenye kilo 169.7, wakiwa na silaha aina ya SMG yenye magazine tatu kwenye Kijiji cha Kiomboi, wilayani Manyoni,...

 

10 years ago

Vijimambo

PATA HUDUMA YA MENO 50% OFF

KAMATI YA AFYA YA WATANZANIA DMV, YAWALETEA HUDUMA YA AFYA YA MENO KUTOKA KWA MWANADIASPORA MTANZANIA AMBAYE NI MMLIKI WA AVATAR DENTAL CLINIC "DR. TAALIB ALI"
DR. TAALIB, NI MIONGONI MWA WANADIASPORA ALIYOGUSWA KUSAIDIA JAMII ZA WAHAMIAJI KUPATA HUDUMA YA MENO KWA BEI NAFUU.
DR. TAALIB  AMEAHIDI KUTOA HUDUMA HII
50% OFF KWA KILA MTANZANIA
      
Dr.Taalib katika jengo la Avatar Dental ClinicDr.Taalib na muhudumu wa Avatar Dental ClinicAvatar Dental Clinic hutoa huduma hata kwa watoto    ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani