PATA HUDUMA YA MENO 50% OFF
KAMATI YA AFYA YA WATANZANIA DMV, YAWALETEA HUDUMA YA AFYA YA MENO KUTOKA KWA MWANADIASPORA MTANZANIA AMBAYE NI MMLIKI WA AVATAR DENTAL CLINIC "DR. TAALIB ALI"
DR. TAALIB, NI MIONGONI MWA WANADIASPORA ALIYOGUSWA KUSAIDIA JAMII ZA WAHAMIAJI KUPATA HUDUMA YA MENO KWA BEI NAFUU.
DR. TAALIB AMEAHIDI KUTOA HUDUMA HII
50% OFF KWA KILA MTANZANIA
Dr.Taalib katika jengo la Avatar Dental Clinic
Dr.Taalib na muhudumu wa Avatar Dental Clinic
Avatar Dental Clinic hutoa huduma hata kwa watoto
...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo26 Apr
NesiWangu: HUDUMA YA MENO KWA 50% OFF INAFIKA KIKOMO.
10 years ago
Vijimambo01 Jun
NesiWangu: YAMEBAKI AMASAA MACHACHE KUPATA HUDUMA YA MENO KW...
10 years ago
Vijimambo01 Jun
NesiWangu: YAMEBAKI MASAA MACHACHE KUPATA HUDUMA YA MENO KWA...
10 years ago
Vijimambo22 Sep
AVATAR DENTAL CARE,HUDUMA YA MENO 50%OFF KWA KILA MTANZANIA
DR. TAALIB, NI MIONGONI MWA WATAALAMU WA AFYA WALIYOGUSWA KUBORESHA UPATIKANAJI WA HUDUMA MUHIMU ZA AFYA YA JAMII HASA KWA WAHAMIAJI. DR. TAALIB AMEAHIDI KUTOA HUDUMA YA AFYA YA MENO 50% OFF KWA KILA MTANZANIA MUHITAJI
KWA NIABA YA WOTE, UONGOZI WA DMV UNATANGULIZA SHUKRANI...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLaf5Mvqu5oYa-Sld-Ljmi-Uc4UfmSD1ExIvJIrezxUZAoyrZ5cY1sMF2pzygAsErWx7GxnS2BNbIZ4nSg1xXJPvl/1.jpg?width=650)
10 years ago
VijimamboMadaktari Diaspora Wakiondoka Zanzibar baada ya Kumaliza Zoezi la Kutoa Huduma ya Saratani ya Matiti, Kisukari na Meno.
10 years ago
MichuziMadaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa Chuo cha Eilimu ya Afya Kuhusiana na Saratani ya Matiti na Meno
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno chatoa huduma ya bure katika kituo cha watoto wenye Albinism
Raisi Mstaafu wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno na Daktari Bingwa wa Watoto Rachel Mhavile toka Hospitali ya Taifa Muhimbili, akifanya ukaguzi wa kinywa na Meno kwa Kuyela Masuka, aliyeanguka toka juu ya mti nakusababisha jino lake lambele juu kushotolikawa linaninginia na kunadaktari aliye jaribu kulirudishia lakini tiba hiyo ikamshinda kwa sababu hakua amepiga mswaki vuzuri na kumsababishia kupata maambukizi na kushindwa kufumba mdomo na kutokula chakula, matibabu aliyoyapata...