AVATAR DENTAL CARE,HUDUMA YA MENO 50%OFF KWA KILA MTANZANIA
UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV UNAFURAHI KUWAFAHAMISHA WANADMV KUHUSU MCHANGO MKUBWA WA HUDUMA YA AFYA YA MENO ITAKAYOPATIKANA KUTOKA KWA MMILIKI WA KITUO CHA AFYA YA MENO, MWANADIASPORA MTANZANIA DR. TAALIB ALI
DR. TAALIB, NI MIONGONI MWA WATAALAMU WA AFYA WALIYOGUSWA KUBORESHA UPATIKANAJI WA HUDUMA MUHIMU ZA AFYA YA JAMII HASA KWA WAHAMIAJI. DR. TAALIB AMEAHIDI KUTOA HUDUMA YA AFYA YA MENO 50% OFF KWA KILA MTANZANIA MUHITAJI
KWA NIABA YA WOTE, UONGOZI WA DMV UNATANGULIZA SHUKRANI...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-azZA5E--RyE/VlYkIeDiOwI/AAAAAAAIIaM/bove7Pc73jY/s72-c/40c8b8d5-8024-4fe4-8b75-13e973062579.jpg)
Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi
10 years ago
Vijimambo26 Apr
NesiWangu: HUDUMA YA MENO KWA 50% OFF INAFIKA KIKOMO.
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Viongozi wetu na kipimo cha maisha bora kwa kila Mtanzania
10 years ago
Vijimambo01 Jun
NesiWangu: YAMEBAKI MASAA MACHACHE KUPATA HUDUMA YA MENO KWA...
10 years ago
MichuziMadaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa Chuo cha Eilimu ya Afya Kuhusiana na Saratani ya Matiti na Meno
10 years ago
VijimamboMadaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa Chuo cha Eilimu ya Afya Kuhusiana na Saratani ya Matiti na Meno.Wakiwa Zanzibar
10 years ago
Vijimambo07 Nov
PATA HUDUMA YA MENO 50% OFF
DR. TAALIB, NI MIONGONI MWA WANADIASPORA ALIYOGUSWA KUSAIDIA JAMII ZA WAHAMIAJI KUPATA HUDUMA YA MENO KWA BEI NAFUU.
DR. TAALIB AMEAHIDI KUTOA HUDUMA HII
50% OFF KWA KILA MTANZANIA
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
‘Kila Mtanzania ana haki ya kupata elimu’
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Kila Mtanzania sasa anadaiwa Sh600,000