Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yawafariji wa mabondeni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Magomeni, Dar es Salaam,  kimewafariji wakazi wa mabondeni  baada ya makazi yao kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Ziara hiyo ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

JK: Wakazi wa mabondeni hameni

Rais Jakaya Kikwete akitoa maagizo kwa uongozi wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo la Tegeta, kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wakati alipofanya ziara eneo hilo jana. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amewataka wananchi wanaoishi mabondeni, wakubali kuhama, kwani Serikali itawapatia maeneo yaliyo salama ili kuepukana na adha ya mafuriko kila inapofika msimu wa mvua.

 

9 years ago

Mtanzania

Hatima ya nyumba za mabondeni leo

mabondeniNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

HATIMA ya nyumba zilizojengwa maeneo ya mabondeni katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salam itajulikana leo kama zitabomolewa au laa.

Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, inatarajia kutoa uamuzi huo, baada wananchi kufungua kesi wakipinga kubomolewa nyumba zao.
Uamuzi huo, unatarajiwa kutolewa mahakamani hapo mbele ya Jaji Panterine Kente wa mahakama hiyo baada ya wananchi wanane kwa niaba ya wenzao wanaoishi katika maeneo hayo kufungua kesi kupinga hatua ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Wa mabondeni wataka kuwa wakimbizi wa ndani

Wakazi wa Bonde la Mkwajuni na Msimbazi wilayani Kinondoni ambao wamebomolewa nyumba zao, wametishia kwenda kwenye mashirika yanayohudumia wakimbizi kuomba msaada wa hifadhi iwapo Serikali haitashughulikia hatima ya makazi yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabondeni wakihama serikali ihamie Dodoma

MARA kwa mara serikali imekuwa ikitoa tangazo la kuwataka watu wanaoishi mabondeni kuhama ili kujiepusha na madhara yatakayosababishwa na mafuriko au majanga yoyote yale. Mkoa wa Dar es Salaam ndio...

 

9 years ago

Mtanzania

Mbunge: Waliouza viwanja mabondeni wakamatwe

MWITANA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

MBUNGE wa Ukonga jijini Dar es Salaam, Mwita Waitara (Chadema),  ameitaka Serikali kuanza kuwachukulia hatua wale wote waliowauzia viwanja wananchi wa mabondeni, kwani hao ndio chanzo cha ujenzi wa makazi katika mikondo ya maji.

Pia ameitaka Serikali kuwachukulia hatua watendaji wa Halmashauri ya Ilala kwa kuwabomolea wananchi wanaoishi katika Bonde la Mto Msimbazi bila kuwapa notisi ya kujiandaa kuhama.

“Halmashauri hiyo kuna mapele makubwa ambayo...

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge ataka waliojenga mabondeni wasaidiwe

Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Naomi Kaihula (pichani), amesema tatizo la wakazi wa mabondeni linatatulika endapo serikali itaweka mikakati mizuri ya miundombinu katika maeneo hayo.
Kaihula alisema kuwaondoa wakazi hao kwa ajili ya tahadhari ya mafuriko ni jambo zuri, lakini kwa kuwa wakazi hao wanaishi kihalali katika maeneo hayo, wanatakiwa kuandaliwa eneo mbadala.
Akizungumza na wakazi wa Jangawani jijini Dar es Salaam juzi, Kaihula alisema wakati...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi wa mabondeni wapewa siku 14 kuhama

Serikali imesitisha kazi ya ubomoaji nyumba za wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni katika bonde la Mto Msimbazi jijini Dar Es Salaam kwa muda wa siku 14 ili kuwapatia nafasi ya kuondoka kwenye maeneo hayo kwa hiari.

Kazi hiyo ya kubomoa nyumba na vibanda vilivyojengwa kinyume cha sheria na maeneo oevu yasiyoruhusiwa kwa ajili ya makazi ya binadamu ilianza Novemba 18 mwaka huu.

Kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi na Mipangomiji namba 8 ya mwaka 2007 kifungu cha 30 imeleza kuwa hairuhusiwi wananchi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tumechoka kuwazungumzia wakazi waishio mabondeni

LEO katika taarifa mbalimbali za vyombo vya habari, zimeeleza taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutahadharisha uwezekano wa kuwapo mvua kubwa zaidi ambazo zinaweza kusababisha mafuriko mengine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani