Wakazi wa mabondeni wapewa siku 14 kuhama
Serikali imesitisha kazi ya ubomoaji nyumba za wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni katika bonde la Mto Msimbazi jijini Dar Es Salaam kwa muda wa siku 14 ili kuwapatia nafasi ya kuondoka kwenye maeneo hayo kwa hiari.
Kazi hiyo ya kubomoa nyumba na vibanda vilivyojengwa kinyume cha sheria na maeneo oevu yasiyoruhusiwa kwa ajili ya makazi ya binadamu ilianza Novemba 18 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi na Mipangomiji namba 8 ya mwaka 2007 kifungu cha 30 imeleza kuwa hairuhusiwi wananchi...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMEYA MANISPAA KINONDONI ATEMBELEA MABONDENI, AWATAKA WATU KUHAMA KUOKOA MAISHA YAO
10 years ago
Habarileo15 May
JK: Wakazi wa mabondeni hameni
RAIS Jakaya Kikwete amewataka wananchi wanaoishi mabondeni, wakubali kuhama, kwani Serikali itawapatia maeneo yaliyo salama ili kuepukana na adha ya mafuriko kila inapofika msimu wa mvua.
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Tumechoka kuwazungumzia wakazi waishio mabondeni
LEO katika taarifa mbalimbali za vyombo vya habari, zimeeleza taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutahadharisha uwezekano wa kuwapo mvua kubwa zaidi ambazo zinaweza kusababisha mafuriko mengine...
11 years ago
Habarileo23 Mar
Wakazi Pugu watakiwa kuhama
WIKI moja baada ya gazeti hili kuandika kuhusu hatari ya kupata magonjwa, ikiwemo kipindupindu inayowakabili wakazi wanaoishi karibu na dampo la Pugu Kinyamwezi na hatua ya kula kwenye chandarua walioianzisha kupunguza kero ya inzi, uongozi wa Jiji la Dar es Salaam umezungumzia hali hiyo.
9 years ago
StarTV15 Nov
Wakazi kata ya Kurasini Dar wagoma kuhama Kupisha mradi wa maegesho
Wakazi wa kata ya Kurasini Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wamegoma kuhama katika makazi yao kupisha mradi wa ujenzi wa maegesho ya magari makubwa.
Manispaa ya Temeke imetoa amri ya kuwataka wakazi wa maeneo hayo kuhama ndani ya muda wa saa 12 kuanzia Novemba 13, vinginevyo nyumba zao zitavunjwa.
wakazi wa Kurasini jijini Dar es Salaam, wamepaza kilio chao kupinga amri ya Manispaa ya Temeke kuwataka kuhama eneo hilo kupisha ujenzi wa maegesho ya magari makubwa.
Wakizungumza na Star...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
IMTU yapewa siku 14 kuhama majengo ya NDC
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Wakazi wa Kiswira wapewa elimu uongezaji thamani mazao
CHUO cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa mkoani hapa kimeendesha mafunzo ya matumizi ya nishati ya jua katika uhifadhi na uongezaji thamani mazao kwa wakazi wa Kijiji cha Kiswira, Kata ya...
10 years ago
Vijimambo12 Oct
WAZIRI MKUU AMPA DED UYUI SIKU 60 KUHAMA NA TIMU YAKE
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/PG4A5153.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/PG4A5158.jpg)