Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Pugu watakiwa kuhama

WIKI moja baada ya gazeti hili kuandika kuhusu hatari ya kupata magonjwa, ikiwemo kipindupindu inayowakabili wakazi wanaoishi karibu na dampo la Pugu Kinyamwezi na hatua ya kula kwenye chandarua walioianzisha kupunguza kero ya inzi, uongozi wa Jiji la Dar es Salaam umezungumzia hali hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wakazi wa mabondeni wapewa siku 14 kuhama

Serikali imesitisha kazi ya ubomoaji nyumba za wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni katika bonde la Mto Msimbazi jijini Dar Es Salaam kwa muda wa siku 14 ili kuwapatia nafasi ya kuondoka kwenye maeneo hayo kwa hiari.

Kazi hiyo ya kubomoa nyumba na vibanda vilivyojengwa kinyume cha sheria na maeneo oevu yasiyoruhusiwa kwa ajili ya makazi ya binadamu ilianza Novemba 18 mwaka huu.

Kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi na Mipangomiji namba 8 ya mwaka 2007 kifungu cha 30 imeleza kuwa hairuhusiwi wananchi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wachimbaji wadogo Kukuruma watakiwa kuhama

SIKU chache baada ya watu watatu  kufariki dunia katika eneo la Kukuruma pit linalomilikiwa na mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine (GGM) kwa kuangukiwa na kifusi cha udongo, Ofisa...

 

10 years ago

Habarileo

EWURA watakiwa kuhama kuepa gharama

Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix NgamlagosiKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), kuhamia kwenye majengo ya serikali mara mkataba wao wa pango kwenye jengo la kifahari la Habour View unapomalizika.

 

9 years ago

Michuzi

TIMUATIMUA YATUA MNADA WA PUGU, MWIGULU ASHIRIKIANA NA MAWAZIRI WAWILI KUTATUA KERO MACHINJIO YA PUGU

Picha na Maelezo na Festo Sanga Ile kauli ya HAPA KAZI TU imeendelea kutumika vizuri kwa mawaziri wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufuatia tukio la mawaziri watatu kufika eneo la Machinjio ya Vingunguti kwa ajili ya kutatua kero zinazowakabili wananchi wanaotumia eneo hilo kwa shughuli za kuchinja mifugo. Awali,Mhe Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kushitukiza usiku wa tar 01/01/2016 katika machinjio hayo na kukutana na madudu ya kutafunwa kwa fedha za ushuru unaokusanywa kwenye mifugo,...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi kata ya Kurasini Dar wagoma kuhama Kupisha mradi wa maegesho

Wakazi wa kata ya Kurasini Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wamegoma kuhama katika makazi yao kupisha mradi wa ujenzi wa maegesho ya magari makubwa.

Manispaa ya Temeke imetoa amri ya kuwataka wakazi wa maeneo hayo kuhama ndani ya muda wa saa 12 kuanzia Novemba 13, vinginevyo nyumba zao zitavunjwa.

wakazi wa Kurasini jijini Dar es Salaam, wamepaza kilio chao kupinga amri ya Manispaa ya Temeke kuwataka kuhama eneo hilo kupisha ujenzi wa maegesho ya magari makubwa.

Wakizungumza na Star...

 

10 years ago

Michuzi

WANAOKAA KWENYE NYUMBA MBOVU MJI MKONGWE ZANZIBAR WATAKIWA KUHAMA - BALOZI SEIF IDDI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia nyumba iliyoporomoka dari na kujeruhi wakazi wake watatu hapo Mtaa wa Ukutani Mjini Zanzibar. Kulia ya Balozi Seif ni Mmiliki wa Nyumba Hiyo Bwana Mzee Abdulla Juma.Balozi Seif akiwaagiza watu wanaoishi ndani ya nyumba iliyoporomoka dari Mtaa wa Ukutani kuhama ili kunusuru maisha yao kutokana na uchakavu wa nyumba hiyo. Aliyepo mwanzo kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mjini Kanali Mstaafu Abdi Mahmoud Mzee.Balozi Seif akiwa pamoja...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wapangaji jengo la Treni Mji Mkongwe watakiwa kuhama jengo hilo

14

Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar                                             

Serikali haitoridhia kuwabakisha Wapangaji na Wafanyabiashara katika jengo la Treni ili kuepusha maafa na kuokoa maisha ya Wananchi na mali zao.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban wakati wa mkutano wa mzungumzo ya pamoja kati ya Wapangaji na  Wafanyabiashara wanaolitumia jengo hilo na Serikali uliofanyika katika ofisi ya Mamlaka ya Mji Mkongwe iliopo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakazi wa Benghazi watakiwa kuondoka

Wakazi wa mjini Beghazi nchini Libya watakiwa kuondoka kupisha operesheni dhidi ya Wanamgambo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani