WANAOKAA KWENYE NYUMBA MBOVU MJI MKONGWE ZANZIBAR WATAKIWA KUHAMA - BALOZI SEIF IDDI
![](http://1.bp.blogspot.com/-C6tbvi2buUk/VKbpNJlNITI/AAAAAAAG694/FkaranJHreI/s72-c/610.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia nyumba iliyoporomoka dari na kujeruhi wakazi wake watatu hapo Mtaa wa Ukutani Mjini Zanzibar. Kulia ya Balozi Seif ni Mmiliki wa Nyumba Hiyo Bwana Mzee Abdulla Juma.
Balozi Seif akiwaagiza watu wanaoishi ndani ya nyumba iliyoporomoka dari Mtaa wa Ukutani kuhama ili kunusuru maisha yao kutokana na uchakavu wa nyumba hiyo. Aliyepo mwanzo kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mjini Kanali Mstaafu Abdi Mahmoud Mzee.
Balozi Seif akiwa pamoja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Balozi Seif Iddi awata kuhama wananchi wanaoishi kwenye nyumba kuu kuu za mji Mkongwe
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia nyumba iliyoporomoka dari na kujeruhi wakazi wake watatu hapo Mtaa wa Ukutani Mjini Zanzibar. Kushoto kwa Balozi Seif ni Mmiliki wa Nyumba Hiyo Bwana Mzee Abdulla Juma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewaagiza wananchi wanaoishi kwenye nyumba mbovu na zile zilizochakaa ndani ya Mji Mkongwe wa Zanzibar wafanye utaratibu wa kuhama kwenye nyumba hizo mapema iwezekanavyo ili kunusuru maisha...
10 years ago
MichuziMAKAMU RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI ATEMBELEA NYUMBA ZA NSSF KIJISCHI, DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Wapangaji jengo la Treni Mji Mkongwe watakiwa kuhama jengo hilo
Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar
Serikali haitoridhia kuwabakisha Wapangaji na Wafanyabiashara katika jengo la Treni ili kuepusha maafa na kuokoa maisha ya Wananchi na mali zao.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban wakati wa mkutano wa mzungumzo ya pamoja kati ya Wapangaji na Wafanyabiashara wanaolitumia jengo hilo na Serikali uliofanyika katika ofisi ya Mamlaka ya Mji Mkongwe iliopo...
11 years ago
Dewji Blog13 May
Magari zaidi ya tani mbili yazuiwe Mji Mkongwe — Balozi Ali Seif Idd
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akijumuika pamoja na baadhi ya wananchi kuangalia athari iliyojichomoza kwenye nyumba ya Bwana Salim Ahmed Salim baada ya ukuta na dari yake kuanguka saa sita usiku juzi mkabala na Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.
Sehemu ya mbele ya Nyumba ya Bwana Salim Ahmed Salim iliyoporomoka Mtaa wa Vuga mkabala na Skuli ya Sekondari ya Tumekuja.Hata hivyo hakuna mtu aliyejeruhiwa kutokana na athari hiyo.
Athari ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-yCqf3WZJQiE/VG2RnLa9a_I/AAAAAAABcU4/n7_RbUjlZhk/s72-c/shangani%2Bpix.jpg)
MAALIM SEIF ATEMBELEA ENEO LA JENGO LILILOANGUKA JANA MJI MKONGWE ZANZIBAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-yCqf3WZJQiE/VG2RnLa9a_I/AAAAAAABcU4/n7_RbUjlZhk/s1600/shangani%2Bpix.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0aPElGNNJXY/VG2RtgWSPeI/AAAAAAABcVA/PxtUqu9_G58/s1600/shangani.jpg)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amezitaka Mamlaka zinazosimamia majengo katika enelo la Mji Mkongwe Zanzibar kuwa na utaratibu mzuri wa kuyakagua ili kuhakikisha uimara wake na kuepusha maafa kwa watumiaji na jamii nzima.
Maalim...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PJtNMZxq__w/UvXVoqdhP5I/AAAAAAAFLs0/A00maSGFGUw/s72-c/unnamed+(47).jpg)
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia aagana na balozi iddi seif zanzibar
![](http://2.bp.blogspot.com/-PJtNMZxq__w/UvXVoqdhP5I/AAAAAAAFLs0/A00maSGFGUw/s1600/unnamed+(47).jpg)
11 years ago
MichuziMaalim Seif atembelea eneo la Mji Mkongwe Zanzibar kuangalia mradi wa ujenzi wa hoteli ya kisasa ya Grand Hyatt
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OQUYcE3T7kZBnGmokUMk4SuJ8sEEKqipdBUyFLjAKKstPQiDM7zz-Lhc8mJuz4cHMtQvBwbwOGpOzZhq1yH94v1ddhlKQ1Yd/unnamed5.jpg?width=650)
BALOZI SEIF IDDI AFANYA ZIARA BANDARI YA MALINDI, ZANZIBAR
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
Balozi Seif Iddi awatoa hofu madaktari wa Cuba, Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Kiongozi wa Madaktari wa Cuba Profesa Ulpiano Nyumbani kwake Vuga Mjini Zanzibar baada ya kuvamiwa na majambazi jana usiku yeye na wenzake maeneo kati ya Kikwajuni na SUZA.
Kamanda wa Polisi Mkoa Mjini Magharibi Msaidizi Kamishna wa Polisi { ACP } Mkadam Khamis Mkadam alisema Jeshi la Polisi Mkoa huo linawashikilia watu wawili miongoni mwa majambazi wanaotuhumiwa kuhusika na uvamizi wa Madaktari Bingwa wa Cuba katika...