Wakazi wa Benghazi watakiwa kuondoka
Wakazi wa mjini Beghazi nchini Libya watakiwa kuondoka kupisha operesheni dhidi ya Wanamgambo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Wavamizi watakiwa kuondoka Kiteto
10 years ago
Habarileo10 Dec
Machinga watakiwa kuondoka Ubungo
MANISPAA ya Kinondoni imetaka wafanyabiashara ndogo (machinga) wanaofanya shughuli zao katika maeneo yasiyoruhusiwa, kama Ubungo mataa, kuondoka haraka katika maeneo hayo.
10 years ago
BBCSwahili04 May
Nepal:Watoaji misaada watakiwa kuondoka
5 years ago
MichuziWavamizi wa maeneo ya Uwekezaji watakiwa kuondoka-TIC
Na Mwandishi wetu, Uvinza.
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw. Geoffrey Mwambe amesema ipo haja kwa watu waliovamia maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Uwekezaji yanayomilikiwa na Kituo hicho kuondoka ili kupisha shughuli zilizotengwa kwa matumizi ya maeneo hayo.
Maeneo hayo yaliyovamiwa tayari yametengwa na Serikali kwa ajili ya uwekezaji wa kilimo kikubwa cha michikichi na kumilikishwa TIC ikiwepo shamba Na. 205 lenye ukubwa wa hekta 3,249.76 lililopo eneo la Basanza na...
11 years ago
Habarileo23 Mar
Wakazi Pugu watakiwa kuhama
WIKI moja baada ya gazeti hili kuandika kuhusu hatari ya kupata magonjwa, ikiwemo kipindupindu inayowakabili wakazi wanaoishi karibu na dampo la Pugu Kinyamwezi na hatua ya kula kwenye chandarua walioianzisha kupunguza kero ya inzi, uongozi wa Jiji la Dar es Salaam umezungumzia hali hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Wakazi Kinondoni watakiwa kutoa maoni
MWANASHERIA wa Manispaa ya Kinondoni, Burton Mahenge. amewataka wakazi wa manispaa hiyo kuhakikisha wanatoa maoni juu ya sheria ndogo nne zilizotungwa na manispaa hiyo kwa ajili ya kuwa sheria kamili....
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Wakazi Tunduma watakiwa kutathmini nyumba zao
DIWANI wa Tunduma, Frank Mwakajoka, amewataka wakazi wa kata hiyo ambao nyumba zao zipo kandokando mwa barabara kuu ya Tunduma -Sumbawanga kuzifanyia tathmini kama zipo ndani ya hifadhi ya barabara...
9 years ago
StarTV30 Oct
Wakazi wa Iringa watakiwa kuwa watulivu na kulinda amani
Wakazi wa mkoani Iringa wametakiwa kuwa watulivu kwa kupunguza ushabiki wa kisiasa ili kuepusha vurugu zisizo na msingi na kuufanya mkoa huo kuwa sehemu salama ya kuishi.
Hatua hiyo inatokana na uwepo wa watuhumiwa 50 waliokamatwa kwa madai ya kufanya vurugu wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi.
Ni kutokana na mvutano uliopo baina ya makundi mawili ya kisiasa juu ya ushindi wa mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa- Bi- Amanina...
9 years ago
StarTV01 Oct
Wakazi Kagera watakiwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola
Wananchi mkoani Kagera wametakiwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola ili kufanikisha kukamatwa kwa wahusika wa matukio ya uchomaji wa makanisa mkoani humo.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella wakati alipotembelea makanisa manne yaliyochomwa moto mwanzoni mwa wiki hii yakikamilisha idadi ya makanisa saba yaliyofanyiwa uhalifu huo ndani ya wiki mbili.
Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella akiambatana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inaanzia...