Wakazi Kinondoni watakiwa kutoa maoni
MWANASHERIA wa Manispaa ya Kinondoni, Burton Mahenge. amewataka wakazi wa manispaa hiyo kuhakikisha wanatoa maoni juu ya sheria ndogo nne zilizotungwa na manispaa hiyo kwa ajili ya kuwa sheria kamili....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV01 Oct
Wakazi Kagera watakiwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola
Wananchi mkoani Kagera wametakiwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola ili kufanikisha kukamatwa kwa wahusika wa matukio ya uchomaji wa makanisa mkoani humo.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella wakati alipotembelea makanisa manne yaliyochomwa moto mwanzoni mwa wiki hii yakikamilisha idadi ya makanisa saba yaliyofanyiwa uhalifu huo ndani ya wiki mbili.
Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella akiambatana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inaanzia...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VDBe59uSkWw/U-i5YYIv_PI/AAAAAAACnOI/uR0MjtEkwIo/s72-c/3.jpg)
Kinondoni kutoa Redd’s Miss Kinondoni
![](http://2.bp.blogspot.com/-VDBe59uSkWw/U-i5YYIv_PI/AAAAAAACnOI/uR0MjtEkwIo/s1600/3.jpg)
Lucy alisema ana uhakika huo mkubwa kutokana na kuwaona washiriki wa Redd’s Miss Kinondoni na kuona wana vigezo vyote vya kulitwaa taji hilo. Mrembo huyo ambaye atakabidhi taji la Redd’s Miss Kinondoni mwishoni mwa wiki alisema, ana uhakika huo kutokana na uzoefu alioupata wakati akishiriki Redd’s Miss Kinondoni.
“Taji lazima lirudi nyumbani, warembo wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ql6Z40BB754/VW0zc8JmEzI/AAAAAAAAQPs/J1h84BpMC3U/s72-c/logo%2Bewura.jpg)
WANANCHI MANISPAA YA MOSHI WAALIKWA KUTOA MAONI JUU YA OMBI LA MUWSA KUBADILI BEI YA KUTOA HUDUMA YA MAJI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ql6Z40BB754/VW0zc8JmEzI/AAAAAAAAQPs/J1h84BpMC3U/s400/logo%2Bewura.jpg)
Na Dixon Busagaga.Moshi.
MAMLAKA ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) inakusudia kuongeza bei ya kutoa huduma za maji kwa watumiaji wake ,lengo likiwa ni kutaka kuendelea kufanya maboresho katika utolewaji wa huduma hiyo.
Kwa mujibu wa ombi Na,TR-W-15-008 kutoka Muwsa kwenda Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji(EWURA) Mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi imetaka kuongeza beo ya huduma zake kwa mwaka 2015/2016 HADI 2017/2018.
Mabadiliko ya bei hiyo...
9 years ago
StarTV04 Nov
Wakazi Kinondoni sasa kupata haki zao.
Serikali imeunda Kamati ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni ili kusikiliza na kutatua kero na changamoto zinazowakabili wananchi wanapodai haki zao katika mahakama za kikatiba.
Kamati hiyo itakayoshughulikia nidhamu ya mahakama imeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mahakama nambari 4 ya mwaka 2011, sehemu ya 51 mabano moja.
Kamati iliyoundwa itashughulikia malalamiko ya wananchi dhidi ya mahakama ya mwanzo, na inaweza kumsimamisha kazi hakimu kupisha uchunguzi wa malalamiko dhidi...
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Wakazi wa Benghazi watakiwa kuondoka
11 years ago
Habarileo23 Mar
Wakazi Pugu watakiwa kuhama
WIKI moja baada ya gazeti hili kuandika kuhusu hatari ya kupata magonjwa, ikiwemo kipindupindu inayowakabili wakazi wanaoishi karibu na dampo la Pugu Kinyamwezi na hatua ya kula kwenye chandarua walioianzisha kupunguza kero ya inzi, uongozi wa Jiji la Dar es Salaam umezungumzia hali hiyo.
11 years ago
GPLWAKAZI WA KINONDONI WASOGEZEWA ZAIDI HUDUMA ZA MAWASILIANO
10 years ago
MichuziMEYA WA KINONDONI ASHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA NA WAKAZI WA MIKOCHENI B
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Wakazi Tunduma watakiwa kutathmini nyumba zao
DIWANI wa Tunduma, Frank Mwakajoka, amewataka wakazi wa kata hiyo ambao nyumba zao zipo kandokando mwa barabara kuu ya Tunduma -Sumbawanga kuzifanyia tathmini kama zipo ndani ya hifadhi ya barabara...