Wakazi Tunduma watakiwa kutathmini nyumba zao
DIWANI wa Tunduma, Frank Mwakajoka, amewataka wakazi wa kata hiyo ambao nyumba zao zipo kandokando mwa barabara kuu ya Tunduma -Sumbawanga kuzifanyia tathmini kama zipo ndani ya hifadhi ya barabara...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Apr
Wabunge watakiwa kutathmini VAT
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka wabunge wake, kuhakikisha wanafanya tathmini na kupitia upya Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na kuweka viwango vya tozo hiyo, kulingana na huduma inayotolewa kupunguza malalamiko ya wananchi.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-QEFSp1ZXjcE/VFVe-JxmAfI/AAAAAAAARaE/YEKI-MDc3Og/s72-c/tunduma.jpg)
WAKAZI WA TUNDUMA - MBEYA WAAZIMIA KWA PAMOJA KUVAA SARE ZA CHADEMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-QEFSp1ZXjcE/VFVe-JxmAfI/AAAAAAAARaE/YEKI-MDc3Og/s1600/tunduma.jpg)
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Wakazi warejelea biashara zao Kariakoo
9 years ago
Habarileo07 Nov
Watakiwa kushikamana, kutimiza ahadi zao
MWANASIASA mkongwe wilayani Mpwapwa, Issack Chibwae amewataka viongozi waliochaguliwa katika uchaguzi mkuu kushikamana na kuhakikisha ahadi walizotoa kwa wanachi zinatekelezwa kwa ukamilifu wake.
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Wanawake watakiwa kutambua haki zao
WAWANAKE mkoani Iringa wametakiwa kuzitambua haki zao sambamba na sheria za utawala bora ndani ya jamii katika kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia. Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Madiwani watakiwa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Joseph Muhumba, ametoa wito kwa madiwani kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili na kupata tiba mapema sambamba na...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Watanzania watakiwa kupima afya zao
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Seif Rashid, amewataka Watanzania kujijengea utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara badala ya kusubiri wafikie dalili za ugonjwa hatua mbaya....
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Wakazi wa Benghazi watakiwa kuondoka
11 years ago
Habarileo23 Mar
Wakazi Pugu watakiwa kuhama
WIKI moja baada ya gazeti hili kuandika kuhusu hatari ya kupata magonjwa, ikiwemo kipindupindu inayowakabili wakazi wanaoishi karibu na dampo la Pugu Kinyamwezi na hatua ya kula kwenye chandarua walioianzisha kupunguza kero ya inzi, uongozi wa Jiji la Dar es Salaam umezungumzia hali hiyo.