Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI WA TUNDUMA - MBEYA WAAZIMIA KWA PAMOJA KUVAA SARE ZA CHADEMA

Hapa ni mkoani mbeya wilaya ya Momba jimbo la Mbozi mashagharibi mji wa Tunduma almaarufu kama Chadema Town mji huu upo border ya Zambia na Tanzania.Wanachadema wa mji huu wameazimia kwa pamoja kuwa kuanzia tarehe 1-11-2014 kila mwanachadema aanze kuvaa skafu, kofia, shati ama nguo yoyote ya chadema kila anapokuwa kwenye majukumu yake,Azimio hilo limeanza kazi leo hii na kama unavyoona kwenye picha hapa ni moja ya sehemu ya mji huo watu wakiendelea na majukumu yao ya kila siku huku wakiwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UTT YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAKAZI WA MBEYA

 Wakazi wa Mbeya wakipata Elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kutoka kwa Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Hilda Lyimo wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara yaliyofanyika Mbeya. Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Hilda Lyimo akitoa ufafanuzi Uwekezaji wa Pamoja kwa wakazi mjini Mbeya wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara. Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Mwanahamisi Sakuru akitoa Elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wakazi wa jijini Mbeya. Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga wakitoa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wadai kuteswa kwa kukataa kuvaa sare

Washukiwa 4 wa shambulizi la Westgate wanaozuiliwa mjini Nairobi, wanadai wameteswa gerezani kwa kukataa kuvaa sare zao

 

9 years ago

Bongo5

Picha: KCee alipogeuka mhudumu wa ndege kwa kuvaa sare na kuhudumia abiria!

Pata picha unasafiri na ndege, na mhudumu anayekukaribisha mlangoni na kukuonesha pa kukaa ni Diamond ambaye pia baadaye anakuja kukuhudumia chakula na vinywaji wakati wa safari. Ndivyo ilivyokuwa Jumamosi ya Oct.24 pale mwimbaji wa Nigeria, Kcee alipogeuka kuwa mhudumu wa ndege kwa siku moja, ambapo alivaa sare za ‘cabin crew’ na kuhudumia abiria kwenye safari […]

 

11 years ago

Mwananchi

Wafugaji Mbeya waazimia kujikita zaidi katika elimu

Sifa kuu ya wafugaji wa Tanzania ni kuendelea na utaratibu wa kufuga kwa kuhamahama. Kimsingi, wafugaji wengi nchini hawana makazi maalumu na mara nyingi makazi yao yamekuwa ni porini, mahala kusikokuwa na huduma nyingi za kijamii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Tunduma watakiwa kutathmini nyumba zao

DIWANI wa Tunduma, Frank Mwakajoka, amewataka wakazi wa kata hiyo ambao nyumba zao zipo kandokando mwa barabara kuu ya Tunduma -Sumbawanga kuzifanyia tathmini kama zipo ndani ya hifadhi ya barabara...

 

5 years ago

Michuzi

MATOKEO YA SARE NNE MFULULIZO KWA TIMU YA YANGA YAPOTEZA MATUMAINI YA MBIO ZA UBINGWA...YATOA TENA SARE KWA COASTAL UNION ...


Yassir Simba, Michuzi Tv

MATUMAINIA ya timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwamo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu yamezidi kuyeyuka baada ya mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union a.k.a Wagosi Wakaya kumaliza kwa sare ya bila kufungana.

Mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union umefanyika leo Februari  23 mwaka huu wa 2020 ambapo kila timu ilionekana kuhitaji kuibuka na ushindi wa alama tatu lakini hadi dakika 90 zimalizika wamemaliza kwa kupata...

 

5 years ago

BBCSwahili

Katika harusi ya pamoja nchini Ufilipino wanadoa walazimika kuvaa barakoa

Katika harusi ya pamoja nchini Ufilipino wanadoa walazimika kuvaa barakoa kwa hofu ya ugonjwa wa Corona

 

10 years ago

Mwananchi

Wasafirishaji wa abiria Tunduma - Mbeya wagoma

Wasafiri wanaotumia barabara ya kutoka Mbeya Mjini kuelekea Tunduma, jana walikumbana na adha ya aina yake baada ya wamiliki wa mabasi yanayofanya safari katika eneo hilo kusitisha huduma hiyo kwa madai ya kuwa na kikao cha kujadili kero wanazozipata barabarani.

 

11 years ago

Michuzi

USAILI WA JESHI LA POLISI TANZANIA KWA WAKAZI WA MBEYA

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, BARAKAEL .N. MASAKI – ACP anawatangazia Wananchi wote ya kuwa orodha ya majina ya vijana waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2013 na cha Sita mwaka 2014 na kuchaguliwa kufanya usalii wa kujiunga na Jeshi la Polisi inapatikana kwenye tovuti ya Polisi: www.policeforce.go.tz au wafike ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya iliyopo Forest jirani na Mahakama kuangalia majina yao.
Muhimu:
• Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani