Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katika harusi ya pamoja nchini Ufilipino wanadoa walazimika kuvaa barakoa

Katika harusi ya pamoja nchini Ufilipino wanadoa walazimika kuvaa barakoa kwa hofu ya ugonjwa wa Corona

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Abiria kuvaa barakoa na glovu katika viwanja vya ndege

Abiria wanaosafiri katika viwanja kadhaa vya ndege vya Uingereza sasa watahitajika kuvalia barakoa na glavu kwa sababu ya maradhi ya Covid- kumi na tisa

 

5 years ago

Michuzi

UKOMO WA BEI YA BARAKOA HADHARANI, VIWANDA VYA NGUO NCHINI KUTENGENEZA BARAKOA ZAIDI

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema atachukua hatua kwa Taasisi zisizo za kiserikali (NGOs) zinazouza barakoa kwa gharama kubwa.

Bashungwa alitoa taadhari hiyo mkoani Arusha alipotembelea Viwanda vya kuzalisha nguo vya Sunflug na A to Z kuangalia hali ya uzalishaji wa barakoa katika Viwanda hivyo.
Bashungwa alitoa onyo kwa NGOs zilizoomba kibali cha kuzalisha barakoa kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania lakini badala yake wanauza barakoa kwa shillingi 2,500 hadi...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA UGANDA: KUVAA BARAKOA NI LAZIMA SIO HIYARI

    Kila mtu anapotoka nyumbani ni lazima avae barakoa , sio hiari kuvaa barakoa ni lazima ,tujikinge na corona , naambiwa kuna watu wameanza kunyanyasana hata kwenye familia , wanafamilia wengine hawataki kukaa pamoja , niwakumbushe tu familia ndio kila kitu maishani.

 

5 years ago

CCM Blog

KUINGIA BUGANDO KUANZIA LEO LAZIMA KUVAA BARAKOA


  Kuanzia leo Aprili 24, 2020, mtu yeyote yule, wakiwemo wagonjwa ama ndugu za wagonjwa atakayeingia katika Hospitali ya Bugando  jijini Mwanza, atatakiwa kuvaa barakoa na kuirejesha getini kabla ya kutoka, ikiwa ni hatua ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona.

 

5 years ago

Michuzi

Wazazi, walezi wahimizwa kuvaa barakoa wanapopeleka watoto kliniki


Ofisa Afya wa Hospitali ya Wilaya Mvomero Veronica Donald akijaza taarifa kwenye kadi ya kliniki ya mtoto wa Bi.Pendo Kretu Mkazi wa Ruindo, Wilaya ya Mvomero, Morogoro. Picha na Englibert Kayombo.
Mtoto Mustapha Pangani (14) akiwa amempeleka mdogo wake Ismail Pangani (Mwaka mmoja na nusu) kliniki katika Zahanati ya Madizini wakihojiwa na mwandishi mwandamizi wa Gazeti la JAMVI LA HABARI, Veronica Mrema. Picha na Englibert Kayombo.
Muuguzi wa Zahanati ya Madizini, Wilayani Mvomero Bi....

 

5 years ago

Michuzi

UGANDA YALEGEZA MASHARTI YA 'LOCKDOWN', YATANGAZA KUVAA BARAKOA NI LAZIMA

Rais Yoweri Museveni ametangaza kuwa kuvaa barakoa ni jambo la lazima nchini humo kuanzia leo katika kipindi hiki ambacho marufuku ya kutotoka nje inalegezwa.

Hatua hiyo ilitangazwa Jumatatu usiku ambapo rais Museveni alihutubia taifa baada ya kumaliza siku 35 za marufuku ya kutotoka nje ama 'lockdown'.

Museveni amesema watu wanaweza kuvalia mpaka barakoa ambazo zimeshonwa kienyeji na vitambaa.

Hata hivyo, kumekuwa na mashaka kutoka kwa wataalamu wa afya juu ya ufnisi wa barakoa za kutengenezwa...

 

5 years ago

Michuzi

Njombe:Waumini wa kanisa la KKKT watakiwa kuvaa barakoa wanapoingia kanisani

Na Amiri kilagalila, NjombeWAUMINI wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania dayosisi ya kusini,wametakiwa kuhakikisha wanavaa barakoa wanapofika ibadani.
Wito huo umetolewa na askofu wa kanisa hilo dayosisi ya kusini Dkt,George Fihavango mara baada ya ibada ya Jumapili katika kanisa la hilo usharika wa Mji Mwema mjini Makambako,ambapo amesema kuwa waumini wote wanatakiwa kuvaa barakoa wanapokuwa ibadani ili waweze kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Aidha ametoa wito kwa wakuu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Ni kwa namna gani unaweza kuvaa barakoa yako?

Taratibu za kufuata wakati wa kuvaa barakoa kujikinga na virusi vya corona

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani