Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKOMO WA BEI YA BARAKOA HADHARANI, VIWANDA VYA NGUO NCHINI KUTENGENEZA BARAKOA ZAIDI

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema atachukua hatua kwa Taasisi zisizo za kiserikali (NGOs) zinazouza barakoa kwa gharama kubwa.

Bashungwa alitoa taadhari hiyo mkoani Arusha alipotembelea Viwanda vya kuzalisha nguo vya Sunflug na A to Z kuangalia hali ya uzalishaji wa barakoa katika Viwanda hivyo.
Bashungwa alitoa onyo kwa NGOs zilizoomba kibali cha kuzalisha barakoa kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania lakini badala yake wanauza barakoa kwa shillingi 2,500 hadi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA BARAKOA TZ CHAGAWA BARAKOA BURE ZAIDI YA 1000 MAENEO MBALIMBALI IKIWEMO VITUO VYA WATOTO YATIMA

Janga la ugonjwa wa virusi vya COVID-19 umeleta uhaba ya bidhaa nyingi humu nchini zikiwemo Barakoa. Rania Nasser ambaye ni mwanafunzi wa sekondari aliunda kikundi kinachojulikana kama Barakoa Tz cha kutengeneza na kugawa barakoa bure kwa wale wenye uhitaji. Nia yake kubwa ilikuwa ni kutengeneza barakoa nyingi na kuzigawa bure kwenye vituo vya polisi vilivyo karibu na nyumbani kwao bure kabisa.
Baada ya wiki moja, uhitaji wa barakoa uliongezeka maradufu na hivyo akaona umuhimu wake...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akipata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mashine ya Cherehani katika utengenezaji wa Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono. Waziri wa Viwanda na Biashara,  Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la...

 

5 years ago

Michuzi

Jerry Muro azindua kiwanda cha kutengeneza Barakoa




************************************

Na Woinde Shizza , Arusha .
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro leo amezindua kiwanda kidogo kitakachokuwa kikizalisha Barakoa kwa ajili ya watumishi wa wilaya hiyo katika sekta ya afya. 
Akizindua kiwanda hicho kidogo cha uzalishaji wa barakoa katika wilaya hiyo kuwa hicho litasaidia kutengeneza barakoa kwaajili ya wafanyakazi wote was halmashauri hiyo.  Alisema kiwanda hicho kitakuwa ni mali ya Serikali na kipo ndani ya hospitali ya Halmashauri ya Meru...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Abiria kuvaa barakoa na glovu katika viwanja vya ndege

Abiria wanaosafiri katika viwanja kadhaa vya ndege vya Uingereza sasa watahitajika kuvalia barakoa na glavu kwa sababu ya maradhi ya Covid- kumi na tisa

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Barakoa ipi ni sahihi kwa matumizi?

Kuna vifaa vya kujikinga na corona kama barakoa, glovu,miwani lakini ni nani wanapaswa kutumia?

 

5 years ago

BBCSwahili

Katika harusi ya pamoja nchini Ufilipino wanadoa walazimika kuvaa barakoa

Katika harusi ya pamoja nchini Ufilipino wanadoa walazimika kuvaa barakoa kwa hofu ya ugonjwa wa Corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Makosa yanayofanywa na watu wanaovaa barakoa za vitambaa

Katika vita didi ya virusi vya corona , kuna suala ambalo linazidi kkuibua mjadala kuhusu iwapo raia wanapaswa kujifunika uso na pua kwa kutumia barakoa?

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Ni kwa namna gani unaweza kuvaa barakoa yako?

Taratibu za kufuata wakati wa kuvaa barakoa kujikinga na virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yathibitisha visa vinne , raia waagizwa kuvaa barakoa

Waziri wa Afya nchini Kenya Mutahi Kagwe ametangaza kwamba Kenya imethibitisha visa vinne zaidi vya virusi vya corona

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani