Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania watakiwa kupima afya zao

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Seif Rashid, amewataka Watanzania kujijengea utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara badala ya kusubiri wafikie dalili za ugonjwa hatua mbaya....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani watakiwa kupima afya zao

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Joseph Muhumba, ametoa wito kwa madiwani kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili na kupata tiba mapema sambamba na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake waaswa kupima afya zao

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa (UWT), Zainab Mwamwindi, ametoa wito kwa wanawake mkoani hapa kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili...

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Ofisa Uratibu na Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Genoveva Vicent (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF katika maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam jana. Wengine wa pili kushoto ni Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda na Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu.Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF.Mtaalamu wa Maabara wa Hospitali ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Ofisa Uratibu na Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Genoveva Vicent (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF katika maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam jana. Wengine wa pili kushoto ni Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda na Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu.Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF.
Mtaalamu wa Maabara wa Hospitali ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wabunge washiriki zoezi la kupima afya zao mjini Dodoma

Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi aongoza zoezi la kupima afya za Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa jana.Upimaji wa afya za Wabunge umefanywa na Madaktari wa Aga Khan kutoka Morogoro,Dar. na Dodoma.Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi (kulia) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Agha Khan,Sisawo Konteh wakati wa zoezi la upimaji wa Afya kwa Waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.Katikani ni Mmoja wa Maafisa waandamizi wa Hospitali ya Agha Khan.Mbunge wa Jimbo la Mbeya...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF YAWAHIMIZA WAKAZI WA MKOA WA LINDI NA MTWARA KUPIMA AFYA ZAO


Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya Lindi vijijini,Bw Ngaticheakipima afya yake katika banda la NHIF alipotembelea banda hilo katikaviwanja vya nanenane Ngongo

Naibu waziri wa kilimo na chakula  ,Godfrey Zambi  akipokeamaalezo mbalimbali kuhusiana na NHIF Toka kwa meneja wa mkoa wa Lindi Bi Fortunata Kullaya huku Mkurugenzi wa masoko Bw Raphae mwamoto  akisikiliza kwa umakini kuhusiana na Chf inavyofanya vizuri wilayani Nachingwea. 
 Banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya linalotoa huduma...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania wahimizwa kupima afya

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe amewataka wananchi kujenga utamaduni wa kupima afya zao ili kuzuia kasi ya ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watanzania waaswa kupima afya

WATANZANIA wametakiwa kuwajibika kwa ajili ya afya zao kwa kwenda hospitali kupima mara kwa mara. Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam jana na  Dk. Amyn Alidina, mtaalamu wa saratani katika Hospitali ya Aga Khan, alipokuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi TBL Group waadhimisha Siku ya UKIMWI duniani kwa kupima afya zao

ukimwi 1

Mfanyakazi wa Kampuni ya TBL; kiwanda cha kuzalisha pombe kinywaji aina ya Chibuku  kilichopo Ubungo Dar es Salaam,Reocatus Hanania akipewa ushauri  nasaha na  akimsikiliza mtoa ushauri nasaha kutoka Kampuni ya bima ya Afya ya Metropolitan;  Aurelia Kanambi kabla ya kupima Virusi vya Ukimwi ikiwa ni sehemu ya maadhimishao ya siku ya Ukimwi Duniani. TBL kila mwaka ambapo Kampuni ya kutengezea bia (TBL) hiyo kila mwaka huadhimisha siku hiyo kwa kualika wataalamu wa afya kwa ajili ya kutoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani