NHIF YAWAHIMIZA WAKAZI WA MKOA WA LINDI NA MTWARA KUPIMA AFYA ZAO
Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya Lindi vijijini,Bw Ngaticheakipima afya yake katika banda la NHIF alipotembelea banda hilo katikaviwanja vya nanenane Ngongo
Naibu waziri wa kilimo na chakula ,Godfrey Zambi akipokeamaalezo mbalimbali kuhusiana na NHIF Toka kwa meneja wa mkoa wa Lindi Bi Fortunata Kullaya huku Mkurugenzi wa masoko Bw Raphae mwamoto akisikiliza kwa umakini kuhusiana na Chf inavyofanya vizuri wilayani Nachingwea. Banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya linalotoa huduma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziNHIF LINDI WAWAPA SOMO VIONGOZI WA TALGWU MKOA WA LINDI
11 years ago
MichuziNHIF NA CHF LINDI ZATOA ELIMU KWA WANAHABARI NA WARATIBU WA MIFUKO HIYO MKOA WA LINDI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4zse40b1aWM/U77l1lCQH6I/AAAAAAAF0nA/m0rKPRSjI0k/s72-c/pinda1504.jpg)
Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4zse40b1aWM/U77l1lCQH6I/AAAAAAAF0nA/m0rKPRSjI0k/s1600/pinda1504.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Wanawake waaswa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa (UWT), Zainab Mwamwindi, ametoa wito kwa wanawake mkoani hapa kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Madiwani watakiwa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Joseph Muhumba, ametoa wito kwa madiwani kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili na kupata tiba mapema sambamba na...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Watanzania watakiwa kupima afya zao
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Seif Rashid, amewataka Watanzania kujijengea utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara badala ya kusubiri wafikie dalili za ugonjwa hatua mbaya....
10 years ago
MichuziWANAMICHEZO , WANANCHI WAJITOKEZA KUPIMA AFYA BANDA LA NHIF UWANJA WA JAMHURI MOROGORO
MAMIA ya wanamichezo na wananchi wa Mkoa wa Morogoro, wameendelea kujitokeza kwa wingi katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kupima afya zao.
NHIF Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na Makao makuu , wanaendesha zoezi la upimaji wa afya kwa wanamichezo wa Shimiwi sambamba na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni sehemu ya majukumu yake ya kutoa huduma kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla.
Zoezi hilo lililoanza Septemba 27, mwaka huu na litaendelea...