WANAMICHEZO , WANANCHI WAJITOKEZA KUPIMA AFYA BANDA LA NHIF UWANJA WA JAMHURI MOROGORO
Na John Nditi, Morogoro
MAMIA ya wanamichezo na wananchi wa Mkoa wa Morogoro, wameendelea kujitokeza kwa wingi katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kupima afya zao.
NHIF Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na Makao makuu , wanaendesha zoezi la upimaji wa afya kwa wanamichezo wa Shimiwi sambamba na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni sehemu ya majukumu yake ya kutoa huduma kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla.
Zoezi hilo lililoanza Septemba 27, mwaka huu na litaendelea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-zvwSGnncwAQ/Ve2i3WmZzKI/AAAAAAAH3IE/wY6Wb4YUrRA/s72-c/h1.jpg)
RAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO JANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-zvwSGnncwAQ/Ve2i3WmZzKI/AAAAAAAH3IE/wY6Wb4YUrRA/s640/h1.jpg)
11 years ago
MichuziMAMIA YA WANANCHI SOMANGA KILWA WAJITOKEZA KUPIMA AFYA BURE,KAYA 70 ZAJIUNGA NA CHF PAPO KWA PAPO WAKIPOKEA MWENGE WA UHURU
9 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-zvwSGnncwAQ/Ve2i3WmZzKI/AAAAAAAH3IE/wY6Wb4YUrRA/s640/h1.jpg)
RAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO JANA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/YANGA-MTIBWA-2.jpg)
VPL: MTIBWA VS YANGA, UWANJA WA JAMHURI MOROGORO
11 years ago
MichuziNHIF YAWAHIMIZA WAKAZI WA MKOA WA LINDI NA MTWARA KUPIMA AFYA ZAO
Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya Lindi vijijini,Bw Ngaticheakipima afya yake katika banda la NHIF alipotembelea banda hilo katikaviwanja vya nanenane Ngongo
Naibu waziri wa kilimo na chakula ,Godfrey Zambi akipokeamaalezo mbalimbali kuhusiana na NHIF Toka kwa meneja wa mkoa wa Lindi Bi Fortunata Kullaya huku Mkurugenzi wa masoko Bw Raphae mwamoto akisikiliza kwa umakini kuhusiana na Chf inavyofanya vizuri wilayani Nachingwea.
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/12/246.jpg)
TAMASHA LA KRISMASI LAFANA UWANJA WA JAMHURI, MOROGORO
10 years ago
GPLYANGA YAINOA POLISI MORO 1-0 UWANJA WA JAMHURI MKOANI MOROGORO