Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAINOA POLISI MORO 1-0 UWANJA WA JAMHURI MKOANI MOROGORO

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akipongezwa na mwenzake baada ya kuifungia timu yake bao pekee dhidi ya Polisi Moro jana. Danny Mrwanda (kati) akijaribu kumtoka mchezaji wa timu ya Polisi Moro.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

VPL: MTIBWA VS YANGA, UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

Kikosi cha timu ya Yanga kinachomenyana na Mtibwa sugar, Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kikosi cha timu ya Mtibwa Sugar. Donald Ngoma wa Yanga akichuana na mabeki wa Mtibwa.…

 

9 years ago

Vijimambo

KUTOKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO HII NDIYO YANGA 2 MTIBWA 0


Baada ya kuvunja uteja kwa watani wao wa jadi Simba Taifa sasa waendeleza kuvunja uteja ndani ya uwanja wa jamhuri wakiwazamisha walima miwa wa mashamba ya mtibwa kwa bao 2 bila majibu. Mtibwa wapisha njia wenyewe kwa kulala na kipigo sawa na walichopewa Simba jumamosi iliyopita.Yanga sasa mambo mbele kwa mbele wazidi kuwa watamu uwanjani.

 

11 years ago

GPL

MTOTO NASRA AAGWA UWANJA WA JAMHURI MORO

Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra. Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. (PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE / GPL,…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA KRISMASI LAFANA UWANJA WA JAMHURI, MOROGORO‏

Mwimbaji Edson Mwasabwite akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki wake wakati akitumbuiza kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana jioni.   Boniface Mwaitege naye akawanyanyua kwenye viti mashabiki waliojitokeza kushuhudia tamasha hilo.…

 

10 years ago

Michuzi

WANAMICHEZO , WANANCHI WAJITOKEZA KUPIMA AFYA BANDA LA NHIF UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

Na John Nditi, Morogoro
MAMIA ya wanamichezo na wananchi wa Mkoa wa Morogoro, wameendelea kujitokeza kwa wingi katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kupima afya zao.
NHIF Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na Makao makuu , wanaendesha zoezi la upimaji wa afya kwa wanamichezo wa Shimiwi sambamba na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni sehemu ya majukumu yake ya kutoa huduma kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla.
Zoezi hilo lililoanza Septemba 27, mwaka huu na litaendelea...

 

5 years ago

CCM Blog

MTANANGE WA YANGA NA JKT TANZANIA UWANJA WA JAMHURI DODOMA

 Shabiki wa Yanga akifanya minjonjo yake kushangilia Yanga kusawazisha bao dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu  uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma . Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Wana Yanga wakifurahia  bao la kusawazisha lililofungwa na Patrick Sibomana
 Bao la kuswazisha lililofungwa na Sibomana
 Wachezaji wa Yhanga wakishangilia
 Ni furaha iliyoje kwa wana Yanga hao wakiongozwa na mtoto anayepuliza katarumbeta

 

10 years ago

Michuzi

KATIBA ILIYOPENDEKEZWA KUKABIDHIWA OKTOBA 08, 2014 KATIKA UWANJA WA JAMHURI MKOANI DODOMA


  Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt, Rehema Nchimbi akitoa ufafanuzi kuhusu makabidhiano ya Rasimu ya katiba yatakayofanywa kati ya viongozi wa Bunge maalumu la katiba watakao kabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Jakaya Kikwete na wa Zanzibar Dkt Mohamed Sheni kwa waandishi wa habari, makabidhiano hayo yatafanyika Oktoba 08, 2014 katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog)  Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO JANA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya  Mkoa wa Morogoro Dkt. Ritha Lyamuya alipokwenda kuwapa pole majeruhi walioumia katika msongamano mkubwa uliotokea katika mlango wa kutokea nje baada ya mkutano wa kampeni wa CCM katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana Septemba 6, 2015. Watu wawili walipoteza maisha, akiwemo mvulana wa miaka 12 aliyejulikana kwa jina la Ramadhani Abdallah na mwanamama Grace George (42), ambapo jumla ya watu 17...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani