MTOTO NASRA AAGWA UWANJA WA JAMHURI MORO
Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra. Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. (PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE / GPL,…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLVILIO VYATAWALA MWILI WA MTOTO NASRA UKIWASILI MKOANI MORO
11 years ago
CloudsFM03 Jun
10 years ago
GPLYANGA YAINOA POLISI MORO 1-0 UWANJA WA JAMHURI MKOANI MOROGORO
11 years ago
CloudsFM02 Jun
MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI KWA MIAKA MINNE KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE,KUAGWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MOROGORO
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.
Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel Aligaeshi.
Mwishoni...
10 years ago
GPLMWANDISHI INNOCENT MUNYUKU AAGWA, ASAFIRISHWA MORO
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Mtoto Nasra azikwa kishujaa
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8EHkdRuml0/U4tf3gsi4DI/AAAAAAAFnCU/005VK6Nrp-A/s72-c/mtoto+px.png)
mtoto nasra rashid afariki dunia
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8EHkdRuml0/U4tf3gsi4DI/AAAAAAAFnCU/005VK6Nrp-A/s1600/mtoto+px.png)
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Bendera aongoza mamia kumzika mtoto Nasra
NA MWANDISHI WETU, MOROGORO
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, jana aliongoza mamia ya wakazi wa mkoa huo katika mazishi ya mtoto Nasra Mvungi, aliyekaa kwenye boksi kwa miaka minne.
Nasra alifariki dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alikokuwa amelazwa akitokea katika Hospitali ya Rufani ya Morogoro.
Mazishi hayo yalifanyika katika makaburi ya Kola, Manispaa ya Morogoro, ambayo yalitanguliwa na ibada ya sala pamoja na kuuaga mwili wa mtoto huyo katika...
11 years ago
Mwananchi26 May
Mke wa Mvungi akubali kumlea mtoto Nasra