Mtoto Nasra azikwa kishujaa
>Mtoto huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka minne, alifariki Juni Mosi kwenye Hospitali ya Muhimbili kutokana na maradhi ya homa ya mapafu. Aliishi kwenye boksi tangu alipokuwa na umri wa miezi tisa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8EHkdRuml0/U4tf3gsi4DI/AAAAAAAFnCU/005VK6Nrp-A/s72-c/mtoto+px.png)
mtoto nasra rashid afariki dunia
Mtoto Nasrah Rashid, aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia leo na kuacha huzuni kubwa miongoni mwa wananchi wakiosikia mkasa wake wa kusikitisha.
Nasra alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki dunia.
Bw. Rashid Mvungi akimuangalia mtoto wake Nasrah...
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8EHkdRuml0/U4tf3gsi4DI/AAAAAAAFnCU/005VK6Nrp-A/s1600/mtoto+px.png)
11 years ago
GPLMTOTO NASRA AAGWA UWANJA WA JAMHURI MORO
Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra. Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. (PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE / GPL,…
11 years ago
Mwananchi26 May
Mke wa Mvungi akubali kumlea mtoto Nasra
Mke wa Rashid Mvungi, baba mzazi wa Nasra (4) aliyefichwa kwenye boksi kwa miaka minne, amekubali kumlea mtoto wake huyo wa kambo kwa hali na mali.
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Tukio la mtoto Nasra liwe funzo kwetu
NIANZE kwa kuwaomba radhi wasomaji wetu kwa kukatisha mfululizo wa maelezo kuhusiana na ujauzito. Nimeamua kufanya hivyo ili kuungana na wenzangu katika kuonyesha hisia zangu kuhusiana na tukio lililojiri hivi...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Bendera aongoza mamia kumzika mtoto Nasra
NA MWANDISHI WETU, MOROGORO
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, jana aliongoza mamia ya wakazi wa mkoa huo katika mazishi ya mtoto Nasra Mvungi, aliyekaa kwenye boksi kwa miaka minne.
Nasra alifariki dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alikokuwa amelazwa akitokea katika Hospitali ya Rufani ya Morogoro.
Mazishi hayo yalifanyika katika makaburi ya Kola, Manispaa ya Morogoro, ambayo yalitanguliwa na ibada ya sala pamoja na kuuaga mwili wa mtoto huyo katika...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XM66Vw_rlwk/U5geWIdHt3I/AAAAAAAFpvo/95l6LGVS5T8/s72-c/unnamed.jpg)
MAMA BISHANGA AWALILIA GEORGE TYSON NA MTOTO NASRA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XM66Vw_rlwk/U5geWIdHt3I/AAAAAAAFpvo/95l6LGVS5T8/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
CloudsFM03 Jun
11 years ago
Michuzi04 Jun
mazishi ya mtoto nasra mjini morogoro yakusanya maelfu ya waombolezaji
![](https://3.bp.blogspot.com/-vG_lq178v9U/U42q25S_6_I/AAAAAAAAUSw/_-ty4V2a95c/s1600/1.jpg)
11 years ago
GPLVILIO VYATAWALA MWILI WA MTOTO NASRA UKIWASILI MKOANI MORO
Waombolezaji wakiangua kilio baada ya mwili wa marehemu Nasra Rashid (4) kuwasili mkoani Morogoro. Mwili wa mtoto Nasra Rashid ukiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania