mtoto nasra rashid afariki dunia
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8EHkdRuml0/U4tf3gsi4DI/AAAAAAAFnCU/005VK6Nrp-A/s72-c/mtoto+px.png)
Mtoto Nasrah Rashid, aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia leo na kuacha huzuni kubwa miongoni mwa wananchi wakiosikia mkasa wake wa kusikitisha.
Nasra alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki dunia.
Bw. Rashid Mvungi akimuangalia mtoto wake Nasrah...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne afariki Dunia
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne akidaiwa kuteswa na mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki, huku akikosa uangalizi wa karibu, chakula, tiba na huduma nyingine muhimu AFARIKI DUNIA katika Hospitali ya Taifa MUHIMBILI usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba, tatizo ni Nimonia na homa ilipanda sana.
R.I.P NASRA wewe mbele sisi nyuma tutakufuata, Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
9 years ago
MichuziKATIBU WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU) RASHID SALEH AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-5nggYwsWYeE/VlGg8ib5KsI/AAAAAAAAUVc/JiwayHkXqf8/s640/IMG-20151121-WA0018.jpg)
11 years ago
Mwananchi04 May
Mtoto anajisiwa, afariki dunia
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
10 years ago
GPLMTOTO WA MACHO AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MTOTO SALUMU AFARIKI DUNIA
10 years ago
Mtanzania05 Jan
Mtoto wa Raila Odinga afariki dunia
NAIROBI KENYA
MTOTO mkubwa wa kiume wa kiongozi wa upinzani wa Muungano wa Cord, Raila Odinga amefariki dunia jana asubuhi katika mazingira yasiyoeleweka.
Mtoto huyo, Fidel Odinga, alikutwa kitandani nyumbani kwake huko Windy Ridge, Karen baada ya kuutumia usiku wa jana na marafiki zake.
Mwili wa mfanyabiashara huyo, ambaye pia ni mwanasiasa kijana ulitarajiwa kupelekwa katika nyumba ya mazishi ya Lee Funeral Home.
Odinga, ambaye yuko eneo la tukio, alithibitisha kifo cha mwanae na kwamba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod0qPSoIsCXDQrVlZvsrRVwA-mGnouPQCOuXqbfa14KazJogqSfgC-WkfbjQBdUHlu5WicQsUL3mblsoUCkDLGsG/wemacopy.jpg?width=650)
MTOTO AFANYIWA BETHIDEI, AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3ZSopUVDgaSMjILj*l0QYLFe9j9MBVbCuEtHGyP*totTEx9vUmt*mku9lN8lLYt4t8sVjQuSitS9Xp3eSDcx6n0bHihl4uc/JOHN.jpg)
MTOTO WA MWALIMU NYERERE AFARIKI DUNIA