MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne afariki Dunia
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne akidaiwa kuteswa na mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki, huku akikosa uangalizi wa karibu, chakula, tiba na huduma nyingine muhimu AFARIKI DUNIA katika Hospitali ya Taifa MUHIMBILI usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba, tatizo ni Nimonia na homa ilipanda sana.
R.I.P NASRA wewe mbele sisi nyuma tutakufuata, Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi24 May
11 years ago
Michuzi
mtoto nasra rashid afariki dunia

10 years ago
CloudsFM05 Mar
MWALIMU ALIYEKUWA AKIISHI NA KINYESI NDANI KWA MIAKA MIWILI, AKIMBIZWA MUHIMBILI.
Mwalimu wa shule ya Sekondari Kibasila, Gaudensia Albert aliyekuwa akihifadhi kinyesi ndani kwake kwa miaka miwili amepelekwa Hospitali ya Muhimbili baada ya daktari wa Hospitali ya Temeke kubaini ana matatizo ya akili.
Baada ya kufikishwa Muhimbili madaktari walimpatia dawa ambazo...
11 years ago
CloudsFM02 Jun
MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI KWA MIAKA MINNE KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE,KUAGWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MOROGORO
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.
Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel Aligaeshi.
Mwishoni...
11 years ago
Mwananchi22 May
Mtoto afichwa kwenye boksi miaka minne
10 years ago
Habarileo16 Nov
Padri aliyekuwa akitafutwa kwa kulawiti mtoto afariki
MTUHUMIWA wa kesi ya kulawiti mtoto wa kiume, aliyekuwa akitafutwa na Mahakama ya Rufaa, Sixtus Kimaro, ambaye alikutwa na tuhuma hizo wakati akiwa Padri katika Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amefia nchini Msumbiji na mwili wake umesafirishwa kuja Dar es Salaam.
11 years ago
GPL
LETTIE MATABANE: MUIGIZAJI MAARUFU WA ISIDINGO AFARIKI DUNIA LEO! ALIKUWA AKIISHI NA VIRUSI!
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Aishi kwenye handaki kwa miaka minne
11 years ago
GPL
MASKINI! MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI MIAKA 4 AFARIKI