MWALIMU ALIYEKUWA AKIISHI NA KINYESI NDANI KWA MIAKA MIWILI, AKIMBIZWA MUHIMBILI.
Mwalimu wa shule ya Sekondari Kibasila, Gaudensia Albert aliyekuwa akihifadhi kinyesi ndani kwake kwa miaka miwili amepelekwa Hospitali ya Muhimbili baada ya daktari wa Hospitali ya Temeke kubaini ana matatizo ya akili.
Baada ya kufikishwa Muhimbili madaktari walimpatia dawa ambazo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM25 Feb
Mwalimu Kibasila Sekondari aishi na kinyesi miaka miwili
Hebu jenga picha, mwalimu wa shule ya Sekondari halafu anaishi ndani na kinyesi! Hivi hii imekaaje?
CLOUDS TV imeeona aah aah isiishie tu...
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne afariki Dunia
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne akidaiwa kuteswa na mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki, huku akikosa uangalizi wa karibu, chakula, tiba na huduma nyingine muhimu AFARIKI DUNIA katika Hospitali ya Taifa MUHIMBILI usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba, tatizo ni Nimonia na homa ilipanda sana.
R.I.P NASRA wewe mbele sisi nyuma tutakufuata, Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
9 years ago
Bongo511 Nov
MB Dog afiwa na kaka yake aliyekuwa akiishi Zambia
![mbdog](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/mbdog-300x194.jpg)
MB Dog amefiwa na kaka yake aliyekuwa akiishi nchini Zambia.
Muimbaji huyo ambaye tayari yupo msibani mkoani Tanga, ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wanapanga shughuli za mazishi.
“Huku sio kwema, tuna msiba brother yangu amefariki, alikuwa Zambia, msiba upo Tanga na sasa hivi tupo kwenye taratibu za mazishi,” ameiambia Bongo5.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video...
11 years ago
MichuziMaisha ya Bi Aziza wa kijiji cha Mijongweni aliyekuwa akiishi chooni
BOFYA HAPA
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-m0wIEoMH_u8/VgN7L38XRuI/AAAAAAAAEHM/R1yXW_vA5Rw/s72-c/IMG_0077.jpg)
Serikali ya CCM Yaahidi Kuweka Umeme Vijiji Vyote Tanzania Ndani ya Miaka Miwili Madarakani
![](http://3.bp.blogspot.com/-m0wIEoMH_u8/VgN7L38XRuI/AAAAAAAAEHM/R1yXW_vA5Rw/s640/IMG_0077.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-TnZStOx6i40/VgN7_LIt7AI/AAAAAAAAEHo/QP53ldCHiHU/s640/IMG_0126.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xIto0wTqyME/VgN6e6Yb5II/AAAAAAAAEG0/tBZDFfmfhGg/s640/IMG_0046.jpg)
10 years ago
VijimamboHABARI KAMILI YA MWALIMU WA KIKE ALIYEKUTWA NA KINYESI CHUMBANI KWAKE
HII ni simulizi ya aibu! Tukio la mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kibasila jijini Dar, Gaudensia Albert, mkazi wa Kisiwani Kata ya Sandali wilayani Temeke kuishi na vinyesi, mikojo na matapishi chumbani kwake, limeibua mshtuko na aibu ndani yake.
Kwa mujibu wa...
11 years ago
Bongo508 Jul
Ashley Cole atua AS Roma kwa mkataba wa miaka miwili
10 years ago
MichuziSERIKALI YALIFUNGIA SHINDANO LA MISS TANZANIA KWA MIAKA MIWILI
Serikali imelifungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili kutokana na sababu mbalimbali na ukiukwaji wa taratibu walizojiwekea, ikiwemo udanganyifu mkubwa unaojitokeza kila mwaka kwenye shidano hilo.
Maamuzi hayo yamechukuliwa na BASATA, ambapo Kaimu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey Mngereza amesema maamuzi hayo yalifikiwa baada ya kukaa kikao cha tathmini ambapo Kamati ya Miss Tanzania ilishindwa kujibu hoja za msingi za wadau na kukiri kuwepo udhaifu katika uendeshaji wa shindano...
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Fastjet yaadhimisha miaka miwili ya huduma nafuu kwa wasafiri wa anga
Kampuni ya ndege ya fastjet, ambayo ni Kampuni yenye gharama nafuu kote Afrika, imeadhimisha miaka miwili ya kutoa usafiri wa anga barani Africa.
Fastjet ilianza biashara ya usafiri wa anga hapa Tanzania tarehe 29 Novemba 2012, ikifanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro na Mwanza kupitia ndege yake aina ya A319.
Tangu wakati huo, Fastjet imepanua wigo wa mtandao wake nchini Tanzania pamoja na kuanzishwa kwa njia yake ya tatu kwenda Mbeya. Kwa sasa safari za Kimataifa za...