Ashley Cole atua AS Roma kwa mkataba wa miaka miwili
Hatamiye mchezaji wa zamani na beki wa timu ya taifa ya Uingereza pamoja na Chelsea, Ashley Cole 33,amejiunga rasmi na timu AS Roma na kukubali kutia saini ya mkataba wa miaka miwili na timu hiyo ambapo anatakuwa akipokea mshahara wa euro elfu 48,000 kwa wiki. Ashley Cole akisaini Mkataba wa miaka miwili Roma Kikosi hicho […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION
10 years ago
MichuziSERIKALI YALIFUNGIA SHINDANO LA MISS TANZANIA KWA MIAKA MIWILI
Serikali imelifungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili kutokana na sababu mbalimbali na ukiukwaji wa taratibu walizojiwekea, ikiwemo udanganyifu mkubwa unaojitokeza kila mwaka kwenye shidano hilo.
Maamuzi hayo yamechukuliwa na BASATA, ambapo Kaimu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey Mngereza amesema maamuzi hayo yalifikiwa baada ya kukaa kikao cha tathmini ambapo Kamati ya Miss Tanzania ilishindwa kujibu hoja za msingi za wadau na kukiri kuwepo udhaifu katika uendeshaji wa shindano...
10 years ago
Bongo530 Sep
TFF yamfungia Juma Nyoso kucheza soka kwa miaka miwili
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Fastjet yaadhimisha miaka miwili ya huduma nafuu kwa wasafiri wa anga
Kampuni ya ndege ya fastjet, ambayo ni Kampuni yenye gharama nafuu kote Afrika, imeadhimisha miaka miwili ya kutoa usafiri wa anga barani Africa.
Fastjet ilianza biashara ya usafiri wa anga hapa Tanzania tarehe 29 Novemba 2012, ikifanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro na Mwanza kupitia ndege yake aina ya A319.
Tangu wakati huo, Fastjet imepanua wigo wa mtandao wake nchini Tanzania pamoja na kuanzishwa kwa njia yake ya tatu kwenda Mbeya. Kwa sasa safari za Kimataifa za...
10 years ago
Michuzi
ACACIA YATANGAZA UDHAMINI MNONO KWA STAND UNITED YA SHINYANGA, NI WA MIAKA MIWILI

10 years ago
CloudsFM05 Mar
MWALIMU ALIYEKUWA AKIISHI NA KINYESI NDANI KWA MIAKA MIWILI, AKIMBIZWA MUHIMBILI.
Mwalimu wa shule ya Sekondari Kibasila, Gaudensia Albert aliyekuwa akihifadhi kinyesi ndani kwake kwa miaka miwili amepelekwa Hospitali ya Muhimbili baada ya daktari wa Hospitali ya Temeke kubaini ana matatizo ya akili.
Baada ya kufikishwa Muhimbili madaktari walimpatia dawa ambazo...
10 years ago
Bongo503 Nov
Genevieve Nnaji kuja na ‘Road to Yesterday’ baada ya kuwa kimya kwa miaka miwili

5 years ago
Ykileo
AHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA KWA KOSA LA KUHARIBU TAARIFA ZA ALIYEKUA MUAJIRI WAKE

KWA UFUPI: Steffan Needham, Amabae alihudumu kama mshauri wa maswala ya tehama (IT Cosultant) katika kampuni ya Voova ya nchini Uingereza amehukumiwa kifungo cha miaka 2 Jela kwa kosa la kuharibu taarifa za muajiri wake wa wa zamani.--------------------------------
Kwa mujibu wa Thames Valley Police ya Nchini Uingereza, Mtuhumiwa alifukuzwa kazi na mwaajiri wake na baadae kuharibu taarifa zote muhimu za kampuni hiyo kwa kile kilicho tafsiriwa kama kulipiza kisasi kutokana na kufukuzwa...
10 years ago
Bongo Movies07 Jun
Hii Ndio Sababu ya Kampunti ya Jerusalem Kusimama Kushoot Movies kwa Miaka Miwili
Staa mkongwe wa Bongo movies , Jacob Stephen ‘JB’ambaye pia ni mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem ameyasema hayo kupitia ukurasa wake mtandaoni.
"Wapenzi wa Jerusalem, tukifanikiwa kumaliza shooting za movie mbili za Watani wa Jadi na ile ya Mzee Majuto.
Tutaanza kushoot tamthilia yetu ambayo itatuchukua muda mrefu mpaka mwakani, hatuna ratiba ya kushoot movie nyingine.kwa mwaka huu na ujao,"JB ameandika.