Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hii Ndio Sababu ya Kampunti ya Jerusalem Kusimama Kushoot Movies kwa Miaka Miwili

Staa mkongwe wa Bongo movies , Jacob Stephen ‘JB’ambaye pia ni mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem ameyasema hayo kupitia ukurasa wake mtandaoni.

"Wapenzi wa Jerusalem, tukifanikiwa kumaliza shooting za movie mbili za Watani wa Jadi na ile ya Mzee Majuto.

Tutaanza kushoot tamthilia yetu ambayo itatuchukua muda mrefu mpaka mwakani, hatuna ratiba ya kushoot movie nyingine.kwa mwaka huu na ujao,"JB ameandika.

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Kwa Mwaka Huu, Hizi Ndio Movies Kutoka Jerusalem

Kutoka Jerusalem.Filamu inayokuja inaitwa MAHABUSU, washiriki ni  marehem Adam Kuambiana, Regina na Ben Kinyaia.

Pia tunatarajia kuachia movie nyingine inaitwa Kalambati Lobo wahusika JB na Diana Kimaro.itafuatiwa na Chale Mvuvi wahusika ni Shamsa Ford,Haji Adam,Mzee Halinikuni Naakombora.

Baada ya hapo natafuta script ya kufungia mwaka.itategemea mwigizaji mnaemtaka kumuona.kazi kwenu.

Kutoka kwenye ukurasa wa JB  mtandaoni

 

9 years ago

Bongo Movies

Wapenzi na Mashabiki wa Jerusalem Films na Bongo Movies kwa Ujumla, Pitieni hapa

Kutoka kwa mkurugenzi wa Jerusalem films, Jacob Stephen ‘JB’

Shamsa Ford Akiwa na Baba Haji

Shamsa Ford Akiwa na Baba Haji

RATIBA kutoka Jerusalem films, movie yetu itakayo fata baada ya Chungu cha Tattu ni Chale Mvuvi, washiriki ni Shamsa Ford na Haji Adam ‘Baba Haji’, Mzee Halikuniki, Makombora , Mzee Chepuo na wengine. Movie hii ili tengenezewa zanzibar mwaka 2013, movie hii itafuatiwa na Kalambati Lobo, washiriki Diana kimaro na Jacob Stephen. Movie hii ilitengenezwa mwaka 2014. Sasa hivi tuko kwenye maandalizi ya...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video)

Bado headlines za anayetajwa kuwa kocha ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola anakwenda kufundisha klabu gani zinazidi kuchukua nafasi, tayari Pep Guardiola ametaja nchi atakayokwenda kufundisha soka baada ya kukiri kuwa hatoendelea na kuifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani. Pep Guardiola amekiri kuamua kuondoka ndani ya klabu ya FC Bayern, baada ya kuitumikia […]

The post Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video) appeared first...

 

11 years ago

Michuzi

MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD NDIO MAZIWA BORA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UBORA KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO ,MAKAMPUNI 30 YAACHWA MBALI

Afisa masoko wa kampuni ya maziwa ya Asas  Dairies Ltd ya mkoani Iringa Bw Jimy Kiwelu akishangilia baada ya  kampuni yake  kuwa ndio kampuni  bora ya uzalishaji maziwa nchini Tanzania katika mashindano yaliyofanyika mkoani mara Watoto  wa mkoa wa Mara  wakishangaa ubora wa maziwa ya Asas kutoka Iringa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kulia na  viongozi  wengine wakifuatilia maonyesho hayo huku  wakifurahia ubora wa maziwa ya Asas Dairies Ltd.
Picha zaidi...

 

9 years ago

Bongo5

Hii ndio sababu inayomkwamisha Walter Chilambo

Baada ya kushinda shindano la BSS miaka miwili iliyopita, Walter Chilambo alitarajiwa na wengi kuja kuwa msanii mwenye mafanikio makubwa. Hata hivyo kipaji chake kinaonekana kutomfaidisha kwa kiasi kilichotarajiwa. Na sasa msanii huyo ametangaza kutafuta management ya kusimamia kazi zake ili kuokoa kipaji chake baada ya kudai kuwa watu wengi waliojitokeza kumsaidia wamekuwa wakimpiga kalenda. […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Hii ndio sababu dunia inawahitaji 'mabibi wa Instagram'

Achana na kizazi cha miaka ya kuanzia themanini na zaidi, kuna kizazi kipya cha watu wenye ushawishi mkubwa wanaoacha historia kwenye mitandao ya kijamii. Suzi Grant ni mmoja wao.

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal ….

Kila mpenda soka anasubiria kuona mwaka 2015 utamalizikaje kwa kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal kuendelea kuwa Man United, Kwani Van Gaal kwa sasa anahusishwa kufukuzwa kazi wakati wowote. Mengi yanachochea uvumi huo kuwa upo karibu kutimia, ukizingatia mtendaji mkuu wa Man United yupo kimya kwa muda mrefu bila kutoa kauli yoyote. Wazungu […]

The post Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal …. appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani