Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa Mwaka Huu, Hizi Ndio Movies Kutoka Jerusalem

Kutoka Jerusalem.Filamu inayokuja inaitwa MAHABUSU, washiriki ni  marehem Adam Kuambiana, Regina na Ben Kinyaia.

Pia tunatarajia kuachia movie nyingine inaitwa Kalambati Lobo wahusika JB na Diana Kimaro.itafuatiwa na Chale Mvuvi wahusika ni Shamsa Ford,Haji Adam,Mzee Halinikuni Naakombora.

Baada ya hapo natafuta script ya kufungia mwaka.itategemea mwigizaji mnaemtaka kumuona.kazi kwenu.

Kutoka kwenye ukurasa wa JB  mtandaoni

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Hii Ndio Sababu ya Kampunti ya Jerusalem Kusimama Kushoot Movies kwa Miaka Miwili

Staa mkongwe wa Bongo movies , Jacob Stephen ‘JB’ambaye pia ni mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem ameyasema hayo kupitia ukurasa wake mtandaoni.

"Wapenzi wa Jerusalem, tukifanikiwa kumaliza shooting za movie mbili za Watani wa Jadi na ile ya Mzee Majuto.

Tutaanza kushoot tamthilia yetu ambayo itatuchukua muda mrefu mpaka mwakani, hatuna ratiba ya kushoot movie nyingine.kwa mwaka huu na ujao,"JB ameandika.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndio Mastaa wa Bongo Movies Wanaoutamani Ubunge Mwaka Huu

Uchaguzi mkuu wa kupata Rais, Wabunge na Madiwani upo jirani. Utafanyika mwaka huu na tayari mpaka sasa watu wenye nia ya kuwania nafasi hizo wamesikika au kutajwa kujiweka mguu sawa kabla ya filimbi kupulizwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec).

Baadhi ya waigizaji wa filamu nao hawajalaza damu, wametangaza nia yao ya kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho, macho yao yakielekezwa kwenye Ubunge.

Dude, Tabora Mjini

Ni msanii wa maigizo anayegombea ubunge katika jimbo la Tabora Mjini. Dude...

 

9 years ago

MillardAyo

Hizi ndio style 8 za nywele walizotamba nazo mastaa wa soka kwa mwaka 2015

Haya mtu wangu wa nguvu wakati tunaendelea kusherehekea sikuku ya mwaka mpya 2016, ninayo list ya style 9 za nywele zilizotamba kwa mastaa wa soka wa Ulaya kwa mwaka 2016. Stori kutoka 101greatgoals.com inawatala mastaa hawa ndio waliokuwa na style za nywele zilizotamba. Miongoni mwa mastaa waliotajwa ni Iniesta,  Raheem Sterling na Paul Pogba. 1- […]

The post Hizi ndio style 8 za nywele walizotamba nazo mastaa wa soka kwa mwaka 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo Movies

Wapenzi na Mashabiki wa Jerusalem Films na Bongo Movies kwa Ujumla, Pitieni hapa

Kutoka kwa mkurugenzi wa Jerusalem films, Jacob Stephen ‘JB’

Shamsa Ford Akiwa na Baba Haji

Shamsa Ford Akiwa na Baba Haji

RATIBA kutoka Jerusalem films, movie yetu itakayo fata baada ya Chungu cha Tattu ni Chale Mvuvi, washiriki ni Shamsa Ford na Haji Adam ‘Baba Haji’, Mzee Halikuniki, Makombora , Mzee Chepuo na wengine. Movie hii ili tengenezewa zanzibar mwaka 2013, movie hii itafuatiwa na Kalambati Lobo, washiriki Diana kimaro na Jacob Stephen. Movie hii ilitengenezwa mwaka 2014. Sasa hivi tuko kwenye maandalizi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Hizi ndio rekodi 7 za Cristiano Ronaldo alizoweka mwaka 2015 pekee …

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kuweka rekodi kadhaa kubwa katika soka, ukiachana na kutwaa tuzo ya tatu ya mchezaji bora wa Dunia  Ballon d’Or kwa mwaka 2015, Ronaldo amefanikiwa kuweka rekodi 7 mpya. 7- Ronaldo amefanikiwa kufunga jumla ya hat-trick 28 katika kipindi cha mwaka […]

The post Hizi ndio rekodi 7 za Cristiano Ronaldo alizoweka mwaka 2015 pekee … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Na hizi ndio picha 10 za mastaa Instagram zilizopata likes nyingi duniani mwaka 2015

Instagram ni mtandao wa kijamii ambao umepata watu wengi sana kwa mwaka 2015, ni mtandao ambao kila mtumiaji anao uhuru wa kupost picha na video fupi za sekunde kumi na tano…. hesabu na mimi TOP 10 ya picha zilizopata likes nyingi mwaka huu wa 2015. 10 Hiyo picha hapo juu kama unavyoiona tu ni ya Kendall Jenner […]

The post Na hizi ndio picha 10 za mastaa Instagram zilizopata likes nyingi duniani mwaka 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani