Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACACIA YATANGAZA UDHAMINI MNONO KWA STAND UNITED YA SHINYANGA, NI WA MIAKA MIWILI

MENEJA Mkuu wa kampuni ya uchimbaji na utafutaji madini, Acacia, Asa Mwaipopo, (katikati), akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandihi wa habari makao makuu ya kampouni hiyo barabara ya Bagamoyo jijini Dar es Salaam, leo Julai 8, 2015. Kampuni ya Acacia, inayomiliki migodi ya kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara, imetangaza udhamini wa miaka miwili itakayotoa kwa klabnu ya soka ya Stand United ya mkoani Shinyanga. Migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu iko mkoani humo. Kulia ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mfaransa kuinoa stand United, ni chini ya ufadhili wa ACACIA

KOCHA Mfaransa, Patrick Liewig, akizungumzia mikakati yake ya kiufundi baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu ya soka ya Stand United ya Shinyanga, kwenye makao makuu ya kampuni ya Acacia jijini Dar es Salaam jana  Jumatatu Julai 20, 2015. Mkataba huo ni chini ya udhamini mnono wa kampuni ya Acacia, inayomiliki migodi mitatu ya kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara.

Na K-VIS MEDIA

KLABU ya soka ya Stand United ya mjini Shinyanga, imesaini mkataba wa...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA STAND UNITED, SHINYANGA

Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakazi wa mkoa wa shinyanga,mikoa yote kanda ya ziwa na mashabiki wetu wote walioko nchi nzima na sehemu mbalimbali duniani kwa kutoa ushirikiano wao wa dhati kwetu katika michezo yetu ya ligi kuu tanzania bara msimu wa mwaka 2014-2015 iliomalizika tarehe 9/05/2015.  Tunasema asanteni sana kwa michango yenu ya hali namali,kifedha,kimawazo na ushauri pia,na hasa katika kipindi kigumu ambacho tumepitia.  Ulikuwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yamaliza mgogoro wa timu ya soka ya Shinyanga Stand United

un2
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na hatua zilizofikia katika kutatiua mgogoro baina ya Timu ya Stand Unite ya mjini Shinyanga na kamati ya uendeshaji ya timu hiyo iliyopo chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo jijini Dar es Salaam.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WHUSM.un1Baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji ya timu ya Stand United ya mjini Shinyanga wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Habaroi,...

 

10 years ago

Vijimambo

MBEYA CITY YAENDELEA KULA KISAGO YAVHAPWA 1-0 NA STAND UNITED UWANJA WA CCM KAMBARAGE, SHINYANGA

Kwa mara ya kwanza ikicheza nyumbani Stand United hii leo imeonja utamu wa ligi kuu soka Tanzania bara mara baada ya kupata ushindi wake wa kwanza ndani ya ligi hiyo kwa kuifunga Mbeya City 1-0 mchezo ukichezwa dimba la CCM Kambarage mjini Shinyanga.Mashabiki wa Mbeya City walikuwa na mbwembwe kiasi cha kuliweka kiganjani dimba hilo nao mashabiki wa Stand wakiwa kama wamenyeshewa mvua kwa muda wa takribani dakika 45 za kipindi cha kwanza na dakika kama 15 za kipindi cha pili lakini mambo...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya CRDB Yatoa Udhamini Mnono Tamasha la Sauti za Busara!



Msimu wa 17 wa Sauti za Busara umeanza rasmi leo Alhamis ya Februari 13 hadi 17 utakaofanyika eneo la kihistoria Ngome Kongwe likiwa na wadhamini mbalimbali ikiwemo Benki ya CRDB. Akizungumza na waandishi wa habari katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Marumaru, Stone Town, Zanzibar mwakilishi wa Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Zanzibar Ndugu Jerome Saraka ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Makusanyo ya VISA uwanja wa ndege amesema: "Leo tunapotambulisha rasmi udhamini huu wa milioni 20,...

 

10 years ago

Vijimambo

ACACIA YAIDHAMINI STEND UNITED KWA KITITA CHA BILLIONI MOJA

Mwenyekiti wa stand united Amani Vicent (kushoto) akibadilishana mkataba wa udhamini wa timu hiyo na Makamu wa rais wa ACACIA anaeshugulikia masuala ya Kampuni, Deo Mwanyika mara baada ya kutiliana saini mkataba wa miaka miwili na kampuni hiyo.Baadhi ya wachezaji wa Stend United wakionyesha jezi watakazotumia msimu huu wa ligi kuu ya Vodacom mara baada ya kukabidhiwa vifaa mbalimbali na wadhamini wao kampuni ya ACACIA.
Baadhi ya wachezaji wa Stend United wakiwa na baadhi ya maafisa kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

BALIMI EXTRA LAGER YATANGAZA RASMI UDHAMINI WA MASHINDANO YA MBIO ZA MITUMBWI KANDA YA ZIWA KWA MWAKA 2014

Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mbio za Mitumbwi Kanda ya Ziwa, zijulikanazo kama “Balimi Boat Race” iliyofanyiak Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono

Lowassa_Babati2

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).

Lowassa_Babati1

Lowassa_hotuba Manyara

Lowassa_Daniel Opurukwa

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...

 

10 years ago

Vijimambo

ACACIA YATUMIA MILIONI 400 KUJENGA MAABARA SHINYANGA

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi,Mhandisi Philbert Rweyemamu(kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Bi Josephine Matiro wakati wa uzinduzuzi wa jengo la Maabara katika shule ya Sekondari Ngokolo lililojengwa kwa ufadhili wa kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Buzwagi. Jengo la Maabara lililojengwa kwa ufadhili wa Mgodi wa Kuchimba Dhahabu wa Buzwagi katika shule ya sekondari Ngokolo iliyopo wilani Shinyanga. Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari Ngokolo iliyopo wilayani Shinyanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani