TAARIFA KUTOKA STAND UNITED, SHINYANGA

Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakazi wa mkoa wa shinyanga,mikoa yote kanda ya ziwa na mashabiki wetu wote walioko nchi nzima na sehemu mbalimbali duniani kwa kutoa ushirikiano wao wa dhati kwetu katika michezo yetu ya ligi kuu tanzania bara msimu wa mwaka 2014-2015 iliomalizika tarehe 9/05/2015. Tunasema asanteni sana kwa michango yenu ya hali namali,kifedha,kimawazo na ushauri pia,na hasa katika kipindi kigumu ambacho tumepitia. Ulikuwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
TAARIFA KUTOKA STAND UNITED FC

Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakazi wa mkoa wa shinyanga,mikoa yote kanda ya ziwa na mashabiki wetu wote walioko nchi nzima na sehemu mbalimbali duniani kwa kutoa ushirikiano wao wa dhati kwetu katika michezo yetu ya ligi kuu tanzania bara msimu wa mwaka 2014-2015 iliomalizika tarehe 9/05/2015.
Tunasema asanteni sana kwa michango yenu ya hali namali,kifedha,kimawazo na ushauri pia,na hasa katika kipindi kigumu ambacho tumepitia.
Ulikuwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki katika...
9 years ago
Michuzi23 Dec
Serikali yamaliza mgogoro wa timu ya soka ya Shinyanga Stand United

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na hatua zilizofikia katika kutatiua mgogoro baina ya Timu ya Stand Unite ya mjini Shinyanga na kamati ya uendeshaji ya timu hiyo iliyopo chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo jijini Dar es Salaam.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WHUSM.

10 years ago
Michuzi
ACACIA YATANGAZA UDHAMINI MNONO KWA STAND UNITED YA SHINYANGA, NI WA MIAKA MIWILI

10 years ago
Vijimambo.jpg)
MBEYA CITY YAENDELEA KULA KISAGO YAVHAPWA 1-0 NA STAND UNITED UWANJA WA CCM KAMBARAGE, SHINYANGA
.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
.jpg)
10 years ago
VijimamboSTAND UNITED YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA SIMBA
9 years ago
Michuzi17 Nov
11 years ago
Dewji Blog26 Oct
Mbwembwe za Stand United
Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United.
10 years ago
Habarileo28 Oct
Ndanda FC waitisha Stand United
TIMU ya soka ya Ndanda FC ya Mtwara imesema kipigo cha bao 1-0 ilichokipata kutoka kwa Azam Alhamisi wiki iliyopita kimewapa changamoto ya kujipanga vizuri zaidi kwa michezo ijayo ikianzia leo dhidi ya Stand United.
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Liewig aibukia Stand United