Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBEYA CITY YAENDELEA KULA KISAGO YAVHAPWA 1-0 NA STAND UNITED UWANJA WA CCM KAMBARAGE, SHINYANGA

Kwa mara ya kwanza ikicheza nyumbani Stand United hii leo imeonja utamu wa ligi kuu soka Tanzania bara mara baada ya kupata ushindi wake wa kwanza ndani ya ligi hiyo kwa kuifunga Mbeya City 1-0 mchezo ukichezwa dimba la CCM Kambarage mjini Shinyanga.Mashabiki wa Mbeya City walikuwa na mbwembwe kiasi cha kuliweka kiganjani dimba hilo nao mashabiki wa Stand wakiwa kama wamenyeshewa mvua kwa muda wa takribani dakika 45 za kipindi cha kwanza na dakika kama 15 za kipindi cha pili lakini mambo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA STAND UNITED, SHINYANGA

Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakazi wa mkoa wa shinyanga,mikoa yote kanda ya ziwa na mashabiki wetu wote walioko nchi nzima na sehemu mbalimbali duniani kwa kutoa ushirikiano wao wa dhati kwetu katika michezo yetu ya ligi kuu tanzania bara msimu wa mwaka 2014-2015 iliomalizika tarehe 9/05/2015.  Tunasema asanteni sana kwa michango yenu ya hali namali,kifedha,kimawazo na ushauri pia,na hasa katika kipindi kigumu ambacho tumepitia.  Ulikuwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yamaliza mgogoro wa timu ya soka ya Shinyanga Stand United

un2
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na hatua zilizofikia katika kutatiua mgogoro baina ya Timu ya Stand Unite ya mjini Shinyanga na kamati ya uendeshaji ya timu hiyo iliyopo chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo jijini Dar es Salaam.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WHUSM.un1Baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji ya timu ya Stand United ya mjini Shinyanga wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Habaroi,...

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA YATANGAZA UDHAMINI MNONO KWA STAND UNITED YA SHINYANGA, NI WA MIAKA MIWILI

MENEJA Mkuu wa kampuni ya uchimbaji na utafutaji madini, Acacia, Asa Mwaipopo, (katikati), akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandihi wa habari makao makuu ya kampouni hiyo barabara ya Bagamoyo jijini Dar es Salaam, leo Julai 8, 2015. Kampuni ya Acacia, inayomiliki migodi ya kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara, imetangaza udhamini wa miaka miwili itakayotoa kwa klabnu ya soka ya Stand United ya mkoani Shinyanga. Migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu iko mkoani humo. Kulia ni...

 

11 years ago

Michuzi

MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya


JUMLA ya shilingi milioni 25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine na timu ya Mbeya City ambayo ilishinda kwa goli 2-1 hapo Jumapili Februari 9, 2014. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Mwananchi

Simba SC, Mbeya City vita mpya Uwanja wa Taifa leo

Simba inaikabili Mbeya City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na inatakiwa kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kuwania ubingwa msimu huu.

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAICHAPA MBEYA CITY BAO 3 - 1 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

 Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatoka Mabeki wa Timu ya Mbeya City wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeishia Bao 3 - 1. Picha na Othman Michuzi. Kiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeishia Bao 3 - 1.  Kipa wa Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiangalia mpira wavuni huku...

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya maadhimisho ya miaka 37 CCM yaendelea vizuri jijini Mbeya

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Sokoine ,ambapo alisema maandalizi yote yamekamilika ,majukwaa yamekamilika, uwanja umerekebishwa vizuri na vijana wa Halaiki wamejiandaa vya kutosha tayari kwa sherehe ya kuzaliwa kwa CCM tarehe 2 Februari. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki hatua za mwisho za maandalizi ya mahala ambapo maandamano yatahitimishwa. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na...

 

10 years ago

CloudsFM

Mapokezi ya Victoria Kimani na Waje Jana Uwanja wa Julius Kambarage Nyerere International Airport

Msanii kutoka Kenya ,Victoria Kimani (Kulia) aliwasili jana majira ya saa moja jioni katika uwanja wa Julius Kambarage Nyerere International Airport.

Msanii mwingine wa kimataifa atakayetoa burudani ndani ya Serengeti Fiesta Dar 2014 ni WAJE kutoka Nigeria aliwasili Dar jana tayari kukinukisha pande za Leaders Club katika Serengeti Fiesta Dar Jumamosi hii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani