MASKINI! MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI MIAKA 4 AFARIKI
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Nasrah Rashid (kulia) enzi za uhai wake. Kushoto aliyekaa ni baba yake mzazi Rashid Mvungi. MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM02 Jun
MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI KWA MIAKA MINNE KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE,KUAGWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MOROGORO
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.
Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel Aligaeshi.
Mwishoni...
11 years ago
Mwananchi22 May
Mtoto afichwa kwenye boksi miaka minne
11 years ago
Dewji Blog22 May
INASIKITISHA SANA: Mtoto wa miaka 4 afichwa katika Boksi miaka 4
Maria Said mama mkubwa wa Nasra, (katikati) ni baba mzazi wa Nasra, Rashidi Mvungi, na (kulia) ni mume wa Mariam Said wakiwa katika ofisi za ustwawi wa jamii mjini Morogoro baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi kwa tuhuma za kumficha mtoto huyo ndani ya box kwa miaka 4 baada ya mama wa mtoto huyo kufariki dunia kwa ugonjwa wa Malaria.
MUME na mke wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumficha mtoto kwa miaka 4 ndani ya Box .
Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Leonard Paul...
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne afariki Dunia
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne akidaiwa kuteswa na mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki, huku akikosa uangalizi wa karibu, chakula, tiba na huduma nyingine muhimu AFARIKI DUNIA katika Hospitali ya Taifa MUHIMBILI usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba, tatizo ni Nimonia na homa ilipanda sana.
R.I.P NASRA wewe mbele sisi nyuma tutakufuata, Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
11 years ago
Habarileo22 May
Mtoto aishi ndani ya boksi miaka 3
MTOTO wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi. Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0qIZblyocFj7oNBLqZEDCIffMnVukuFusB1t4QtJxsT0t4udwze1sz9Xh5Jc65ToaaXHl-jwaDVBXWTRfFmuinw/mtotoo.jpg)
MTOTO ALIYEISHI NDANI YA BOKSI MIAKA ...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*4sM22xZ7yt5f09C4fnYkPnuURe4ANxu40MtwLxNuSsoSJ5xhFBd*46TMivLCFKBSUTKHgrmtYUWfz*cFRszUl3MalFu2PHI/sauda.jpg)
MASKINI SAUDA MWILIMA AJIFUNGUA MTOTO, AFARIKI DUNIA
11 years ago
Habarileo04 Jun
Mtoto aliyeteswa kwenye boksi azikwa
SAFARI ya mwisho ya mtoto Nasra Mvungi (4), iliyokuwa ya mateso hapa duniani, imefikia mwisho jana katika makaburi ya Kola, Manispaa ya Morogoro, bila kusindikizwa na baba yake mzazi, Rashid Mvungi. Nasra kwa zaidi ya miaka mitatu hapa duniani, inadaiwa alikuwa akiishi katika boksi lililokuwa kitanda, choo, sehemu ya kuchezea na meza yake ya kulia chakula.
11 years ago
Mwananchi28 May
Mtoto aliyeishi kwenye boksi, ahamishiwa Muhimbili