MTOTO ALIYEISHI NDANI YA BOKSI MIAKA ...
![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0qIZblyocFj7oNBLqZEDCIffMnVukuFusB1t4QtJxsT0t4udwze1sz9Xh5Jc65ToaaXHl-jwaDVBXWTRfFmuinw/mtotoo.jpg)
Stori:Â DUSTAN SHEKIDELE, Morogoro WAKATI bado wananchi wakiwa wanajiuliza kilichosababisha mama mkubwa wa mtoto Nasra Mvungi kumficha binti huyo mwenye miaka minne ndani ya boksi, makubwa yameibuka kuhusu chanzo hasa cha malezi hayo ya kudhalilisha. Mtoto aliyedaiwa kuishi ndani ya biksi kwa miaka mitatu akiwa na baba yake na kati ni Mama mkubwa wa mtoto huyo Nasra Mvungi anayedaiwa kufanya kitendo hicho. Kwa mujibu wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo22 May
Mtoto aishi ndani ya boksi miaka 3
MTOTO wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi. Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.
11 years ago
Mwananchi28 May
Mtoto aliyeishi kwenye boksi, ahamishiwa Muhimbili
11 years ago
Habarileo23 May
Mifupa ya mtoto aliyeishi kwenye boksi imevunjika
POLISI mkoani Morogoro, inaendelea kuchungua kilichotokea mpaka mtoto mkoani hapa (jina limehifadhiwa), akateswa na mzazi mlezi kwa kuwekwa katika boksi tangu akiwa na miezi tisa, mpaka alipotimiza miaka minne. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, amesema, baba mzazi wa mtoto huyo, Rashid Mvungi ambaye ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro alitakiwa kwenda kutoa maelezo kituoni leolakini hakutokea.
11 years ago
CloudsFM29 May
HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFUNGIWA NDANI YA BOKSI KWA MIAKA MINNE NA MAMA YAKE MLEZI ILI ASIMWAMBUKIZE VIRUSI VYA UKIMWI
Mtoto wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi.
Wakizungumza na...
11 years ago
Dewji Blog22 May
INASIKITISHA SANA: Mtoto wa miaka 4 afichwa katika Boksi miaka 4
Maria Said mama mkubwa wa Nasra, (katikati) ni baba mzazi wa Nasra, Rashidi Mvungi, na (kulia) ni mume wa Mariam Said wakiwa katika ofisi za ustwawi wa jamii mjini Morogoro baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi kwa tuhuma za kumficha mtoto huyo ndani ya box kwa miaka 4 baada ya mama wa mtoto huyo kufariki dunia kwa ugonjwa wa Malaria.
MUME na mke wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumficha mtoto kwa miaka 4 ndani ya Box .
Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Leonard Paul...
11 years ago
Mwananchi22 May
Mtoto afichwa kwenye boksi miaka minne
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MASKINI! MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI MIAKA 4 AFARIKI
11 years ago
CloudsFM02 Jun
MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI KWA MIAKA MINNE KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE,KUAGWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MOROGORO
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.
Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel Aligaeshi.
Mwishoni...
9 years ago
BBCSwahili18 Oct
India: Watu 2 ndani kubaka mtoto wa miaka 2