India: Watu 2 ndani kubaka mtoto wa miaka 2
Polisi mjini Delhi, India wamewakamata vijana wawili, wanaotuhumiwa kwa ubakaji wa mtoto wa miaka mwili.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Mar
Kijana adaiwa kubaka mtoto wa miaka 16
MKAZI wa kitongoji cha Misunkumilo mjini Namanyere, Zacharia Katembo (21) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nkasi kwa madia ya kumbaka mtoto.
Mshitakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo Jumanne wiki hii, mbele ya Hakimu Ramadhani Mgalamalira, ambapo alikana mashitaka ya kubaka mtoto mwenye umri wa miaka 16.
Hakimu Mgalamalira aliahirisha shauri hilo hadi Machi 23, mwaka huu, litakapotajwa tena. Pia aliamuru mshitakiwa kurejeshwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Atupwa jela miaka 30 kwa kumsaidia mtoto kubaka
MAMA aliyemsaidia mwanawe kubaka , Regina Kigelulye, ametupwa jela miaka 30 sawa na mtoto wake ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kubaka, Sagimembe Mroso.
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Mtoto wa miaka sita abakwa India
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Mtoto wa miaka 2 aweka rekodi India
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0qIZblyocFj7oNBLqZEDCIffMnVukuFusB1t4QtJxsT0t4udwze1sz9Xh5Jc65ToaaXHl-jwaDVBXWTRfFmuinw/mtotoo.jpg)
MTOTO ALIYEISHI NDANI YA BOKSI MIAKA ...
11 years ago
Habarileo22 May
Mtoto aishi ndani ya boksi miaka 3
MTOTO wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi. Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
India: Baba azika ua kuchoma maelfu ya miili ya watu kujifariji kwa kifo cha mtoto wake
9 years ago
Habarileo16 Dec
Mchungaji, mkewe wamfungia ndani mtoto kwa miaka 12
POLISI mkoani Singida inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Itaja na mkewe kwa tuhuma za kumfungia ndani ya chumba mtoto wao mlemavu wa viungo kwa miaka 12 bila kutoka nje.
10 years ago
Vijimambo15 Dec
MFANYAKAZI WA NDANI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AENDA JELA MIAKA 4
![](http://api.ning.com/files/zXiKii5t5tuI60C5jJXhkQduOvSlOs9UXQWxFg7foWZRDRxOppckSNAG928HWlFyC3MlN1wKC9roO9WjN9Q-eNQhZddd*WiU/hausigeli.jpg)
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.
![](http://api.ning.com/files/zXiKii5t5tuD-AtotXeNYmjuTLjr-m9h*kJgyjlTC4ss*n9B23EqmSNwGrl34zAK1EIf2FJeZgxFUgm73DmXesiLsbsAP48U/Monstermaidkicks.png)
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.