MFANYAKAZI WA NDANI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AENDA JELA MIAKA 4
Jolly Tumuhirwe (22).
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXiKii5t5tuI60C5jJXhkQduOvSlOs9UXQWxFg7foWZRDRxOppckSNAG928HWlFyC3MlN1wKC9roO9WjN9Q-eNQhZddd*WiU/hausigeli.jpg)
HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA
10 years ago
Bongo515 Dec
Mfanyakazi wa ndani ya Uganda afungwa miaka minne jela
11 years ago
Habarileo20 Mar
Mwanamke aliyemtesa mtoto atupwa jela miaka 3
MWANAMKE mkazi wa Kata ya Iyela jijini hapa, Mwanahawa Nassoro (32) amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kunyanyasa na kumtesa mtoto. Mwanamke huyo alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mbeya mjini jana, akikabiliwa na shitaka la kumtesa mtoto, John Paul (3) ambaye ni mtoto wa kaka yake.
10 years ago
Habarileo07 Sep
Aliyembaka mfanyakazi wa ndani jela miaka 30
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemhukumu kwenda jela miaka 30 mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Mbwawa Steven Solomon (29) kwa kosa la kumbaka mfanyakazi wake wa nyumbani mwenye umri wa miaka 16.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3pbaBKayUO9yFIqX1cNHor*6oiCVrdpYlHjZJGGnAx0qKstXxxMWxy9yd9dDYFsIhFL9ac4j4L*r115zNCJZEChltMCyEIpX/HAUSIGELIKIPIGO.jpg)
HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AOMBA SAMAHANI
9 years ago
BBCSwahili26 Sep
Ahudumia miaka 20 jela bila hatia Uganda
11 years ago
Habarileo28 Feb
Aliyelawiti mtoto jela miaka 30
MKAZI wa Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, Changarawe Madula Balale (30) ameanza kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka na kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kiume wa miaka minane.
10 years ago
Habarileo07 Jan
Aliyelawiti mtoto atupwa jela miaka 30
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa Madibira wilayani hapa kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka mitano.
11 years ago
Habarileo25 Mar
Aliyelawiti mtoto wa kambo jela miaka 70
MKAZI wa kijiji cha Mtisi, Kata ya Sitalike wilayani Mlele, Forensi Alberto (34) ametupwa jela miaka 70 kwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake kambo mwenye umri wa miaka kumi.