Mfanyakazi wa ndani ya Uganda afungwa miaka minne jela
Mahakama nchini Uganda imetoa hukumu ya miaka minne jela kwa mfanyakazi wa ndani, Jolly Tumuhiirwe, aliyepatikana na hatia ya kumtesa na kumpiga motto wa miezi 18. Tumuhiirwe, 22, alionekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akimpiga bila huruma mtoto huyo aitwaye Aneela. Msichana huyo aliwaomba radhi wazazi wa mtoto huyo na umma kwa ujumla na kudai kuwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo15 Dec
MFANYAKAZI WA NDANI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AENDA JELA MIAKA 4
![](http://api.ning.com/files/zXiKii5t5tuI60C5jJXhkQduOvSlOs9UXQWxFg7foWZRDRxOppckSNAG928HWlFyC3MlN1wKC9roO9WjN9Q-eNQhZddd*WiU/hausigeli.jpg)
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.
![](http://api.ning.com/files/zXiKii5t5tuD-AtotXeNYmjuTLjr-m9h*kJgyjlTC4ss*n9B23EqmSNwGrl34zAK1EIf2FJeZgxFUgm73DmXesiLsbsAP48U/Monstermaidkicks.png)
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
10 years ago
Habarileo07 Sep
Aliyembaka mfanyakazi wa ndani jela miaka 30
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemhukumu kwenda jela miaka 30 mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Mbwawa Steven Solomon (29) kwa kosa la kumbaka mfanyakazi wake wa nyumbani mwenye umri wa miaka 16.
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Yaya wa Uganda afungwa jela
11 years ago
BBCSwahili19 May
Muuguzi mwenye HIV afungwa jela Uganda
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WhNM1Otru2c/VYP5Q0vgH-I/AAAAAAAAH-8/yOJm6PDZnuE/s72-c/Masanja%2BMwinamila%2Bsiku%2Balipokamatwa.jpg)
ALIYETEKA ALBINO TABORA AFUNGWA JELA MIAKA 10
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Nzega leo hii imemhukumu Masanja Mwinamila (44), mkazi wa Kitongoji cha Kona Nne, Kijiji cha Ugembe II, Kata ya Mwakashanhala, Tarafa ya Puge wilayani Nzega katika Mkoa wa Tabora kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kuteka mtoto mwenye albinism, Margreth Hamisi (6).Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Saraphine Nsana, alitoa hukumu hiyo baada ya mshtakiwa kusomewa shtaka na kukiri kutenda kosa hilo.
Ilielezwa mahakamani hapo kwamba,...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Mwanariadha Pistorius afungwa jela miaka mitano
10 years ago
Vijimambo21 Oct
Pistorius apatikana na hatia, afungwa jela miaka 5
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/17/141017112755_oscar_pistorius_512x288_reuters.jpg)
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita.
Jaji anayetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo...
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-WhNM1Otru2c/VYP5Q0vgH-I/AAAAAAAAH-8/yOJm6PDZnuE/s640/Masanja%2BMwinamila%2Bsiku%2Balipokamatwa.jpg?width=640)
ALIYETEKA ALBINO TABORA AFUNGWA JELA MIAKA 10
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Afungwa jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha