Pistorius apatikana na hatia, afungwa jela miaka 5
Pistorius alipatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita.
Jaji anayetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Mwanariadha Pistorius afungwa jela miaka mitano
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Pistorius apatikana na hatia ya mauaji
9 years ago
Bongo503 Dec
Oscar Pistorius apatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake
![1161338_965574](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1161338_965574-300x194.jpg)
Mahakama ya rufaa ya nchini Afrika Kusini, Alhamis hii imempata Oscar Pistorius na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Jaji Eric Leach alitangaza kuwa rufaa ya serikali kwenye kesi ya Pistorius imefanikiwa. Jaji huyo ameirudisha kesi hiyo kwenye mahakama ya chini ili itoe hukumu mpya.
Pistorius, 29, alimpiga risasi girlfriend wake aliyekuwa na miaka 29 nyumbani Pretoria, February 14, 2013. Alidai kuwa alimpiga akidhania ni jambazi aliyevamia nyumbani kwake.
Baada ya uamuzi huo,...
9 years ago
Bongo518 Dec
Meek Mill kurudi tena jela, apatikana na hatia za kukiuka masharti ya probation
![meek-pray](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/meek-pray-300x194.jpg)
Mambo si mazuri kwa Meek Mill.
Rapper huyo wa Philadelphia, Alhamis hii alipanda kizimbani na kujitetea mbele za jaji kuwa amebadilika.
Wakati wa utetezi wake, Meek alimuingiza pia mpenzi wake Nicki Minaj: I’m not a gangsta. I’m not a criminal,” alisema. I have my queen, Nicki now. I’m trying to do better and feel like I can be the best rapper alive.”
Hata hivyo jaji hakushawishisha na utetezi wake na alimkuta na hatia ya kukiuka masharti ya probation na kuitaja Feb 5 kama siku ya...
9 years ago
BBCSwahili26 Sep
Ahudumia miaka 20 jela bila hatia Uganda
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WhNM1Otru2c/VYP5Q0vgH-I/AAAAAAAAH-8/yOJm6PDZnuE/s72-c/Masanja%2BMwinamila%2Bsiku%2Balipokamatwa.jpg)
ALIYETEKA ALBINO TABORA AFUNGWA JELA MIAKA 10
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Nzega leo hii imemhukumu Masanja Mwinamila (44), mkazi wa Kitongoji cha Kona Nne, Kijiji cha Ugembe II, Kata ya Mwakashanhala, Tarafa ya Puge wilayani Nzega katika Mkoa wa Tabora kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kuteka mtoto mwenye albinism, Margreth Hamisi (6).Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Saraphine Nsana, alitoa hukumu hiyo baada ya mshtakiwa kusomewa shtaka na kukiri kutenda kosa hilo.
Ilielezwa mahakamani hapo kwamba,...
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-WhNM1Otru2c/VYP5Q0vgH-I/AAAAAAAAH-8/yOJm6PDZnuE/s640/Masanja%2BMwinamila%2Bsiku%2Balipokamatwa.jpg?width=640)
ALIYETEKA ALBINO TABORA AFUNGWA JELA MIAKA 10
10 years ago
Bongo515 Dec
Mfanyakazi wa ndani ya Uganda afungwa miaka minne jela
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Afungwa jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha