Oscar Pistorius apatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake
Mahakama ya rufaa ya nchini Afrika Kusini, Alhamis hii imempata Oscar Pistorius na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Jaji Eric Leach alitangaza kuwa rufaa ya serikali kwenye kesi ya Pistorius imefanikiwa. Jaji huyo ameirudisha kesi hiyo kwenye mahakama ya chini ili itoe hukumu mpya.
Pistorius, 29, alimpiga risasi girlfriend wake aliyekuwa na miaka 29 nyumbani Pretoria, February 14, 2013. Alidai kuwa alimpiga akidhania ni jambazi aliyevamia nyumbani kwake.
Baada ya uamuzi huo,...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Sep
Pistorius apatikana na hatia ya mauaji
11 years ago
Michuzi
News alert: Oscar Pistorius ahukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani kwa kumuua bila kukusudia girlfiend wake

Mwanariadha huyo asiye na miguu aliyeshangaza ulimwengu katika michuano ya Olympic mwaka 2012, amehukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani na Jaji wa Afrika ya Kusini asubuhi hii, katika hatua inayofikisha tamati mlolomngo wa muda mrefu wa kesi hiyo iliyokuwa ikifuatiliwa kwa karibu ulimwenguni kote
Pistorius alipatikana na hatia ya kuua bila kukusudia mnamo Septemba 12, mwaka huu, kwa kumtoa...
11 years ago
Vijimambo21 Oct
Pistorius apatikana na hatia, afungwa jela miaka 5

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita.
Jaji anayetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo...
11 years ago
BBCSwahili12 Sep
Jaji ampata na hatia Oscar Pistorius
5 years ago
CCM Blog
ATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MPENZI WAKE

Ni kwamba mnamo tarehe 22/03/2020 majira ya saa 09:00 Asubuhi huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “NEGERO” iliyopo Mtaa wa Ilolo, Kata ya Ruanda, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya katika chumba namba 111 @ Victoria, Mwanamke mmoja aitwaye JESCA MICHAEL @ KUNGULU [28] Mhudumu wa...
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Pistorius ajutia kifo cha mpenzi wake
10 years ago
BBCSwahili12 Dec
Yaya apatikana na hatia Uganda
10 years ago
BBCSwahili06 Jun
Mwana wa Mugabe apatikana na hatia
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Polisi apatikana na hatia ya ubakaji Oklahoma