Pistorius apatikana na hatia ya mauaji
Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp kwa bahati mbaya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Oct
Pistorius apatikana na hatia, afungwa jela miaka 5
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/17/141017112755_oscar_pistorius_512x288_reuters.jpg)
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita.
Jaji anayetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo...
9 years ago
Bongo503 Dec
Oscar Pistorius apatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake
![1161338_965574](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1161338_965574-300x194.jpg)
Mahakama ya rufaa ya nchini Afrika Kusini, Alhamis hii imempata Oscar Pistorius na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Jaji Eric Leach alitangaza kuwa rufaa ya serikali kwenye kesi ya Pistorius imefanikiwa. Jaji huyo ameirudisha kesi hiyo kwenye mahakama ya chini ili itoe hukumu mpya.
Pistorius, 29, alimpiga risasi girlfriend wake aliyekuwa na miaka 29 nyumbani Pretoria, February 14, 2013. Alidai kuwa alimpiga akidhania ni jambazi aliyevamia nyumbani kwake.
Baada ya uamuzi huo,...
10 years ago
BBCSwahili06 Jun
Mwana wa Mugabe apatikana na hatia
10 years ago
BBCSwahili12 Dec
Yaya apatikana na hatia Uganda
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Polisi apatikana na hatia ya ubakaji Oklahoma
9 years ago
BBCSwahili03 Sep
Mwanajeshi apatikana na hatia ya dhuluma za ngono
9 years ago
Bongo518 Dec
Meek Mill kurudi tena jela, apatikana na hatia za kukiuka masharti ya probation
![meek-pray](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/meek-pray-300x194.jpg)
Mambo si mazuri kwa Meek Mill.
Rapper huyo wa Philadelphia, Alhamis hii alipanda kizimbani na kujitetea mbele za jaji kuwa amebadilika.
Wakati wa utetezi wake, Meek alimuingiza pia mpenzi wake Nicki Minaj: I’m not a gangsta. I’m not a criminal,” alisema. I have my queen, Nicki now. I’m trying to do better and feel like I can be the best rapper alive.”
Hata hivyo jaji hakushawishisha na utetezi wake na alimkuta na hatia ya kukiuka masharti ya probation na kuitaja Feb 5 kama siku ya...
10 years ago
BBCSwahili12 Sep
Jaji ampata na hatia Oscar Pistorius
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Pistorius akutwa na hatia, hii ndiyo adhabu anayoweza kutana nayo
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mwanariadha wa Afrika Kusini aliye kifungoni kwa kesi ya kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Oscar Pistorius (pichani) amekutwa na hatia ya kuumua mpenzi wake wa zamani Reeva Steenkamp siku ya Valentine 2013.
Pistorius ambaye alikuwa katika kifungo cha nje chini ya uangalizi maalum, alifanya tukio la mauaji siku ya Valentine akiwa bafuni na ndipo alipokuja mpenzi wake na bila kuangalia ni nani Pistorius alipiga risasi na kupelekea kifo cha mwanamke huyo.
Katika kesi...