Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pistorius ajutia kifo cha mpenzi wake

Mwaka 1 baada ya Oscar Pistorius kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp, amezungumzia majuto na masikiti yake kuhusu kifo cha Steenkamp

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM KUFUATIA KIFO CHA MTU ALIYEDAIWA KUWA MPENZI WAKE

 Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael mwenye wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake.
Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo hicho huku pia wakipost picha zinazomuonesha alipokuwa na marehemu.Hata hivyo mujibu wa Global Publishers, familia ya Secky imeweka wazi chanzo halisi cha kifo...

 

9 years ago

Bongo5

Oscar Pistorius apatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake

1161338_965574

Mahakama ya rufaa ya nchini Afrika Kusini, Alhamis hii imempata Oscar Pistorius na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.

1161338_965574

Jaji Eric Leach alitangaza kuwa rufaa ya serikali kwenye kesi ya Pistorius imefanikiwa. Jaji huyo ameirudisha kesi hiyo kwenye mahakama ya chini ili itoe hukumu mpya.

Pistorius, 29, alimpiga risasi girlfriend wake aliyekuwa na miaka 29 nyumbani Pretoria, February 14, 2013. Alidai kuwa alimpiga akidhania ni jambazi aliyevamia nyumbani kwake.

Baada ya uamuzi huo,...

 

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?

Kabla sijaingia kwenye mada ya leo, hebu tushirikishane kuhusu hali iliyomtokea dada yetu mmoja kutoka jijini Dar es Salaam. Aliwasiliana nami siku kadhaa zilizopita, akiwa analia, amekata tamaa, anaomboleza mithili ya mtu aliyepewa taarifa za msiba. Alichokisema ni hiki: “Nimeishi na mume wangu kwa miaka kumi na tumejaliwa kupata watoto watatu. Huyu wa mwisho ana umri wa miezi saba, nilimzaa mwanzoni mwa mwaka huu....

 

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?-3

6. Anaendelea kumpa misaada mbalimbali. Ukiona mpenzi wako anaendelea kumsaidia ex wake kama kumtumia muda wa maongezi, fedha za matumizi au kodi ya chumba, ujue bado wanapendana na anafanya hayo kwa sababu anaamini ipo siku watarudiana. 7. Bado anazo zawadi walizokuwa wanapeana kipindi cha nyuma. Ukiona mpenzi wako bado anatunza zawadi walizowahi kupeana na ex wake kipindi cha mapenzi yao, ni dhahiri kwamba bado anampenda na...

 

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?-2

Shukrani ziende kwake Muumba ambaye kwa mara nyingine ametupa nafasi ya kukutana kwenye uwanja wetu huu, tukijuzana, kuelimishana na kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kuijadili mada hii kama inavyosomeka kwenye kichwa cha habari kuhusu hatua unazopaswa kuzichukua unapogundua kuwa mpenzi wako, mumeo au mkeo ana mawasiliano na mpenzi wake wa zamani (ex wake)....

 

10 years ago

BBCSwahili

Jordan yathibitisha kifo cha Rubani wake

Jordan imethibitisha kifo cha rubani Moaz al-Kasasbeh baada ya picha ya video kuchapishwa katika mtandao na kikundi cha Islamic State

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Oscar Pistorius ahukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani kwa kumuua bila kukusudia girlfiend wake

Oscar Pistorius akiwasili katika mahakama ya Pretoria nchini Afrika kusini kusikiliza hukumu yake leo.
Mwanariadha huyo asiye na miguu aliyeshangaza ulimwengu katika michuano ya Olympic mwaka 2012, amehukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani na Jaji wa Afrika ya Kusini asubuhi hii, katika hatua inayofikisha tamati mlolomngo wa muda mrefu wa kesi hiyo iliyokuwa ikifuatiliwa kwa karibu ulimwenguni kote
Pistorius alipatikana na hatia ya kuua bila kukusudia mnamo Septemba 12, mwaka huu, kwa kumtoa...

 

9 years ago

StarTV

  Kifo Cha Alphonce Mawazo Mwili wake kuagwa leo Furahisha Mwanza

 

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Geita Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza na baadae kusafirishwa kupelekwa mkoani Geita kwa maandalizi ya mazishi.

Mwili huo ulitakiwa kuagwa jumamosi iliyopita zoezi ambalo lilikwama baada ya zuio la jeshi la polisi mkoani Mwanza kabla ya mahakama kuu kutengua pingamizi hilo mapema jana.

Viongozi wa CHADEMA wamekutana na wanahabari jijini Mwanza kuwaeleza...

 

11 years ago

CloudsFM

JAFARAI AFUNGUKA KUWA MUZIKI WAKE UMETIKISIKA BAADA YA KIFO CHA ALBERT MANGWEA

Msanii mkongwe wa Bongo Flava kutoka kundi la wateule jafarai jafarhymes amefunguka kuwa muziki wake umekuwa katika hali ‘tete’baada ya kifo cha aliyekuwa msanii mwenzake wa muziki huo marehemu Albert Mangwea’Ngwea’ ambaye leo ametimiza mwaka mmoja tangu afariki dunia.Jafarai muziki wake umesimama kutokana na kuwa na mazoea ya kufanya kazi zake kwa kushirikiana na msanii huyo, ngoma ya mwisho ya Jafarai kutoka ilikua Blaa Blaa iliyotoka zaidi ya mwaka mmoja uliopita.Jafarai huyu hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani